Natafuta KIWANJA/SHAMBA-TABORA MANISPAA

Rock City

JF-Expert Member
Feb 11, 2012
1,266
501
Wakuu,
Ninatafuta eneo la kiwanja au shamba ndani ya maeneo jirani ya mji.
Iwe ni eneo la pembezoni mwa barabara kuu hususan SIKONGE ROAD au URAMBO ROAD.
Kiwanja kiwe manispaa ya mjini, au hata zile nyumba za miti zilizobaki magofu, tunaweza kuelewana na kuuziana.
Sipendelei sana madalali, nawaogopa madalali.
Shamba lisizidi hekari 2, isiwe ni zaidi ya kilometa 10 toka mjini.

Kwa mawasiliano: 0779-333334
 
Mkuu hauko serious kbs, Tabora niijuayo mimi suala la kiwanja au shamba sio mpaka ulilete humu jamvini. wewe nenda Aridhi moja kwa moja utapata tu, kwa nini wabongo hatupendi kufuata utaratibu katika mambo yetu
 
Nakushkuru kwa ushauri wako, nitafika municipal kesho nijaaliwapo.
 
kabla ya hapo kuna nyumba moja inauzawa ipo eneo la hapa mjini kati, kama una 20m ni pm coz iko na nyumba kubwa tayari
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom