Natafuta kiwanja maeneo haya Dar es Salaam

mm ninacho vikindu mbele yabkongowe ya mbagala ukubwa square meter 60*60 bei 3ml kipo ubali wa dk 6 kutoka vikindu barabarani kwa pkpk
 
Vipo vya kaka yangu salasala,kimoja kimepimwa sqrm 530,na kingine hakijapimwa sqrm 400, vipo minarani kwa mboma.
NJOO PM NIKUPE NAMBA ZAKE.
Mkuu viwanja vya hizo bei kipindi hiki kigumu sana unajua, kiwanja kikizidi sana iwe kumi na mbili mkuu,
 
Mkuu kiwanja kipo goba jirani na shule ya precious
Kina fensi ya ukuta tayari,
Kina mashimo ya choo yaliyotayari,
Ukubwa ni 35/25,
Mbele kuna eneo la kujenga frem,
Bei ni milioni 15,kuandikishana unalipia mwenyewe,hamna dalali.
Nipe mawasiliano nije kupaona
 
Vipo ila nje kidogo ya mji... Kibaha kwa matias.... Bei inaanzia mil 5 kwa nusu heka!!
 
Nina kiwanja bunju cha skwata kina ukubwa wa sqm 700 bei milion 13. nina kiwanja bunju beach kilicho pimwa kina sqm 1250 kina hati ya serikal bei milion 95. nina kiwanja mbweni jkt sqm 750 karibu na beach kina hati ya serikal bei milion 70. nina kiwanja mbweni teta karibu na chuo cha NBA chuo cha uhasibu kiwancha kina sqm 1700 kina hati ya serikali bei tsh 120 mpaka 110 milion. .......ninavyo vingi sana vya ukubwa tofauti na bei tofauti kulingana na maeneo tunavyo vilivyo pimwa na visivyo pimwa for more details check me 0712464777. pia tunazo nyumba za kuuza nzuri maeneo tofaut. Karibuni sana.

Mkuu
Nikupe milioni 50 hiko cha mbweni jkt
 
Nataka hiko cha mbweni jkt, pm please hakipungui

Nina kiwanja bunju cha skwata kina ukubwa wa sqm 700 bei milion 13. nina kiwanja bunju beach kilicho pimwa kina sqm 1250 kina hati ya serikal bei milion 95. nina kiwanja mbweni jkt sqm 750 karibu na beach kina hati ya serikal bei milion 70. nina kiwanja mbweni teta karibu na chuo cha NBA chuo cha uhasibu kiwancha kina sqm 1700 kina hati ya serikali bei tsh 120 mpaka 110 milion. .......ninavyo vingi sana vya ukubwa tofauti na bei tofauti kulingana na maeneo tunavyo vilivyo pimwa na visivyo pimwa for more details check me 0712464777. pia tunazo nyumba za kuuza nzuri maeneo tofaut. Karibuni sana.
ataa
 
Hiki ni zaidi ya kiwanja kipo Boko basihaya, size 25meter kwa 25meter pana nyumba tayari bei USD $24,500/-
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom