Natafuta kiwanja maeneo haya Dar es Salaam

Nina kiwanja bunju cha skwata kina ukubwa wa sqm 700 bei milion 13. nina kiwanja bunju beach kilicho pimwa kina sqm 1250 kina hati ya serikal bei milion 95. nina kiwanja mbweni jkt sqm 750 karibu na beach kina hati ya serikal bei milion 70. nina kiwanja mbweni teta karibu na chuo cha NBA chuo cha uhasibu kiwancha kina sqm 1700 kina hati ya serikali bei tsh 120 mpaka 110 milion. .......ninavyo vingi sana vya ukubwa tofauti na bei tofauti kulingana na maeneo tunavyo vilivyo pimwa na visivyo pimwa for more details check me 0712464777. pia tunazo nyumba za kuuza nzuri maeneo tofaut. Karibuni sana.
Wewe ni Dalali au Kabaila ??
 
Pia Nimeandaa Plot Layout inayoonyesha viwanja vya Mingoi(Kimele).. Kama utataka niadd kwa whatsapp yako nikutumie)..Mchoro wa Madale nipo nauandaa..!
Mkuu n imekujibu kama unaongea na mimi(

Kuhusu hivyo vya 6M viwili kwa pamoja naweza kukupa kwa 11.5M CASH.. Naweza punguza lak5tu..ikibidi kufanya hivyo(Lakini bei halali ni milion6 kwa kiwanjaX2 = 12M kwa viwanja 2.

Japo ninavyo viwanja pia Mingoi Darajani Upande wa pili ukivuka tu toka Dar upande wa kushoto(Ukiwa site unatazamana moja kwamoja na Bunju B,japo bonde la mto ndo linawatenganisha) Hivi nitakupatia 20X45 kwa milion8 Kamili bila punguzo.(Yaani ni viwanja2 vilivyoungana(kimoja 20X20 +20X25)

Hapa Mingoi vimebaki winja 4 tu..

Labda nikwambie kuwa haya maeneo tuliyachukua kama mashamba mimi na kaka yangu miaka ya nyumba (Sasa maeneo haya yamerasmishwa kwa makazi na yanaendelezwa, watu wanajenga kwa kasi..Hivyo tukayagawa kwenye plots na kuanza kuyauza

Tulianza kuyauza mwaka Jana mwezi wa 6..(Ukitafuta utakuta thread zangu umu JF).

Kama hupo seriuos hebu nicheck kwa namba hii +255 762 466 293(Tujadiliane, maana hatuwezi fika muafaka nyuma ya keyboard, unahitaji kuongea na mimi,pia na kuyaona haya maeneo)

Barikiwa sana..!
 
Nauza cha kwangu nna matatizo kiwanja kipo Vikindu mwajasi ukubwa 20×20 bei 3M ni Pm kama ukihitaji
 
ImageUploadedByJamiiForums1461956377.580309.jpg



15MX 30M eneo kitunda Magole near Mwanagati.
Corner Plot

Bei ni Tsh: 15M

Umeme na Maji papo hapo.

8.4Kms from Banana Aviation House
18Kms from City Centre.

Karibuni.

0715-240140
 
Vipo vya kaka yangu salasala,kimoja kimepimwa sqrm 530,na kingine hakijapimwa sqrm 400, vipo minarani kwa mboma.
NJOO PM NIKUPE NAMBA ZAKE.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom