Natafuta kiwanja hapo Moshi

ceekay

JF-Expert Member
Dec 22, 2011
413
154
Habari wanaJF! Nna bajeti ya mil5 - 7 natafuta kiwanja cha kujenga mkoa wa Kilimanjaro, Manispaa ya Moshi mjini, maeneo yafuatayo:
- Rau (hata Uru ya mwanzo)
- KCMC
- Soweto
- Shah Tours (hata Msaranga ya barabara)
 
Labda ongeza ifike 10 moshi skuiz imebadilik...maeneo mazur apo ni kcm,shah tours na Soweto
 
wachaga weng tunajua thaman ya ardh hasa ya huk nyumban mosh hata kama ukipat eneo then u'r not a chaga u wnt enjoy it
then ela yako ndogo sana
 
kuna eneo lipo Majengo ni zaidi ya 20million kama upo tayari nikupe contact muwasiliane
 
Labda ongeza ifike 10 moshi skuiz imebadilik...maeneo mazur apo ni kcm,shah tours na Soweto

10mil labda iwe karibu SANA na Moshi town na pia aruhusu kulipia kwa awamu! Ndio bajeti niliyo!
 
Kuna hatua 20 kwa 45 kiboso road kiko barabarani kina maji na umeme kinafaa kwa guest house ni mil 20
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom