Natafuta kijana anaejua kutengeneza Mitula aje Mwanza tupige kazi!!

Friedrich Nietzsche

JF-Expert Member
Sep 22, 2022
1,145
1,918
Kichwa cha habari chahusika!!

IMG_3228.jpg


Wazo!
Nilienda Mbeya pale stand kuu nikakuta kijana anachoma mitula nikachukua wa buku!! Daa ile kitu ni tamu nyie.

Nataka nianzishe ki restaurant fulani hivi niweke na mitula.
Sharti awe wa mikoani syo mwanza
 
Kichwa cha habari cha husika!!

View attachment 2870901


wazo!
Nilienda mbeya pale stand kuu nikakuta kijana anachoma mitula nikachukua wa buku !! Daa ile kitu ni tamu nyie

Nataka nianzishe ki restaurant fulani hivi niweke na mitula.
Sharti awe wa mikoani syo mwanza
Hii kitu tumeifanya tangu utotoni kihome home.
Ukichinja kuku, mbuzi, nguruwe ama Ng'ombe lazima ipikwe.

I was the master ila kwa kazi hapana labda nikuelekeze Mkuu.
 
Back
Top Bottom