Natafuta kazi

sugi

JF-Expert Member
Feb 12, 2011
1,392
293
Mimi ni muhitimu katika chuo kikuu cha ar es salaam (udsm)mwaka 2010,nimesoma bsc.edn(MATH&Information system)natafuta kazi itakayonifaa kwa kozi hiyo napatikana kwa no.0782816630
 
kuna kazi ya kufundisha primary math kuanzia std 5hadi 7 na weekend full time 24/7 makazi unapata na chakula cha shule mashahara laki 200000 upo tayari? ni porini umeme hamna jenereta lipo kuanzi saa kumi na mbili na nusu jioni mpaka saa 4 kamili usiku.
 
thanx,contact please
 
Wee! usimtanie, ana degree tena ya UDSM akafundishe primary?! tena porini, kwa huo mshahara kiduchu, kweli nimeamini njaa haina adabu.
 
Watu hawana hata shilingi we unasema mshahara mdogo pumbavu we wajuu yangu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom