Natafuta kazi yoyote ya udereva wa gari

Oct 29, 2012
86
4
Jamani mimi ni kijana wa makamo, sina kazi yoyote. Nategemea ki leseni changu munisaidie kazi yoyote ya udereva. Iwe kumuendesha mtu n.k. Basi ni p.m munisaidie mwenzenu nimekwama.
 
Jamani mimi ni kijana wa makamo, sina kazi yoyote. Nategemea ki leseni changu munisaidie kazi yoyote ya udereva. Iwe kumuendesha mtu n.k. Basi ni p.m munisaidie mwenzenu nimekwama.

Leseni yako ni daraja gani?? Na una uzoefu wa muda gani??
 
Usiseme kazi yoyote unadhalilisha taaluma ya udereva,kwa kauli yako hiyo inaonyesha haujapita N I T, kasome ili uondokane na fikra za kuona udereva ni kazi ya kawaida kawaida tu
 
mimi nina Leseni A,B,D&E… na sijapata kazi jamani!
Tupeane kazi bandugu!
 
Kama unataka ufaidi matunda ya udereva kajiendeleze N.I.T upate cheti kutokana na mafunzo.

Saizi kila kampuni,taasisi au baadhi ya matajiri wanataka dereva angalau awe amepitia N.I.T.

Usipokubali mabadiliko unaweza ukajikuta unachukia na kuiona kazi ya udereva mbaya.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom