Natafuta kazi ya utangazaji wa Radio FM bure

KIDESELA

Senior Member
Sep 26, 2011
149
91
Habari za hapa wana Jf ,

Kama kichwa cha habari yangu ilivyo hapo juu,

Mimi ni kijana wa kiume miaka yangu 33, sijasomea uandishi wa habari wala sijasomea utangazaji, ila binafsi napenda utangazaji kwa sababu naamini nina uwezo mkubwa sana kuzidi watangazaji wengi sana wa hizi FM radio.

Binafsi nafahamu mambo mengi sana ya kisiasa michezo, kidiplomasia, naongea lugha ya kiswahili kwa ufasaha na kuandika, sauti yangu pia inavutia sana wasikilizaji.

Nina amini ninaweza kusoma taarifa ya habari ya habari kwa ufasaha na kipindi cha michezo, mwenye kunihitaji japo kwa majaribio aamini nayosema anicheki namba hizo hapo chini.

0715432626

Au nicheki pm
 
Hebu Tangaza kidogo bac tuthibitishe km kweli hujasomea!

Nitatangazia wapi mkuu? basi hii fani huwa naipenda tu miaka mingi ila sijapata pakuanzia,ndio maana nataka niingie japo bure kuthibitisha kipaji nilichonacho
 
ahsante ndugu
Mimi naamini kuwa utangazaji ni kipaji na sio vyeti, uthibitisho ni kwa watangazaji wengi wa zamani enzi za RTD hawakuwa na elimu kubwa km watangazaji wa leo, lakini ki-utendaji walikuwa ni wazuri sana huwezi kulinganisha na yeyeto aliyepo TBC leo hii ambao wana mavyeti rundo lakini hawavutii hata kuwasikiliza
 
Ni kweli ndugu kuna watangazaji wengi sana wanalazimisha fani, ukiwasikiliza hawajui lolote mradi tu watangazaji
 
Mimi naamini kuwa utangazaji ni kipaji na sio vyeti, uthibitisho ni kwa watangazaji wengi wa zamani enzi za RTD hawakuwa na elimu kubwa km watangazaji wa leo, lakini ki-utendaji walikuwa ni wazuri sana huwezi kulinganisha na yeyeto aliyepo TBC leo hii ambao wana mavyeti rundo lakini hawavutii hata kuwasikiliza

umesema kweli mkuu,ukienda mikoani kuna radio ukisikiliza unazima hapo hapo mtangazaji akianza kuongea tu
 
Peleka demo, lakini unatakiwa ujue kuwa kazi ya utangazaji ina sheria zake,kurusha kipindi hewani SI mchezo maana ya watu wanakusiliza,so unatakiw uwe Makini sana
 
Back
Top Bottom