Miaka ya 1980-1990 Watangazaji Radio walikuwa wanaheshimika sana kuliko wa sasa

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,023
142,069
Niseme tu huwa sioni tofauti Kati ya Watangazaji Radio FM na TV na wale Waigizaji wa Kaole.

Enzi za Akina Charls Hilal, Betty Chalamila, Mahmud Mikidad, Mayalla, Ben Kiko, Selena Kumchafua, Jacob Tesha, Ahmed Kipozi, Jongo nk Watangazaji Radio walikuwa Wanaheshimika sana.

Hawa wa leo sasa Baba Levo, Mpoki, Swebe, Masanja Mkandamizaji, Madenge ni full vituko yaani.

Tumetoka mbali aiseee.

Jumaa Mubarak. 😀😀
 
Niseme tu huwa sioni tofauti Kati ya Watangazaji Radio FM na TV na wale Waigizaji wa Kaole

Enzi za Akina Charls Hilal, Betty Chalamila, Mahmud Mikidad, Mayalla, Ben Kiko, Selena Kumchafua, Jacob Tesha, Ahmed Kipozi, Jongo nk Watangazaji Radio walikuwa Wanaheshimika sana

Hawa wa leo sasa Baba Levo, Mpoki, Swebe, Masanja Mkandamizaji, Madenge ni full vituko yaani

Tumetoka mbali aiseee

Jumaa Mubarak
Halafu wanajiona wanachekesha kumbe ni vituko tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa wa leo sasa Baba Levo, Mpoki, Swebe, Masanja Mkandamizaji, Madenge ni full vituko yaani.
Hawa sio watangazaji ni ma MC washereheshaji wa mashughuli kitchen party, komunio, kipaimara, Ndoa, birthday, nk ndio kazi zao sasa kuna miaka ya nyuma hapa wakadumbukizwa kwenye vyombo vya habari kuvuta mashabiki ilianza kidogo kidogo mara ikawa ndio mchezo anatokea tu huko MC anaingia kwenye redio kuongea but in reality sio wanahabari per se
 
Back
Top Bottom