J JUDITH MGASSE Member Jun 5, 2012 17 4 Jun 5, 2012 #1 Jamani natafuta kazi sana sana! au hata intern kwenye NGO's ya M&E au PROGRAM OFFICER! asante kwa corncern
Jamani natafuta kazi sana sana! au hata intern kwenye NGO's ya M&E au PROGRAM OFFICER! asante kwa corncern
mischa JF-Expert Member Mar 29, 2012 368 176 Jun 5, 2012 #2 uwe unachungulia huku mara kwa mara zipo huku tele tu
J JUDITH MGASSE Member Jun 5, 2012 17 4 Jun 5, 2012 Thread starter #4 huwa nachungulia na apply lkn sipati! nina bachelor ya education na sasa namalizia post graduate ya monitoring and evaluation mlimani!
huwa nachungulia na apply lkn sipati! nina bachelor ya education na sasa namalizia post graduate ya monitoring and evaluation mlimani!
genius JF-Expert Member Mar 15, 2011 427 337 Jun 7, 2012 #5 please anaye hitaji kuajiri pharmaceutical technician certified ani sms kwa 0783021103.