Natafuta kazi secta ya biashara za ndani na nje ya nchi

MBOMBO

Member
Nov 28, 2009
37
16
MIMI NI MHITIMU WA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM (MLIMANI) MWAKA 2008 KATIKA FANI YA BIASHARA (MARKETING &INTERNATIONAL BUSINESS); NA KWA SASA NI BANK OPERATIONS OFFICER NMB. NATAFUTA KAZI KATIKA TAASISI ZA BIASHARA ZINAZOJISHUGHULISHA NA EIDHA SERVICE AU COMMODITY HASA VIWANDA AU MAKAMPUNI MAKUBWA YANAYO OPERATE KIMATAIFA ILI NIWEZE KUJENGA NA KUJIIMARISHA KATIKA FANI NILIYOISOMEA. NATAMANI KAZI KATIKA SEKTA HIZO NA NIPO TAYARI ENDAPO NITAITWA MDA WOWOTE.
UNAWEZA KUWASILIANA NAMI KWA E-MAIL victordmm@yahoo.com; au simu no. +255 756593929. Ahsanteni kwa ushirikiano wenu
 
Ni lengo zuri ila kwa Bcom yako utahitaji kuongeza kidogo hata ikiwezekana nenda MBA manake ushindani balaa!
 
MIMI NI MHITIMU WA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM (MLIMANI) MWAKA 2008 KATIKA FANI YA BIASHARA (MARKETING &INTERNATIONAL BUSINESS); NA KWA SASA NI BANK OPERATIONS OFFICER NMB. NATAFUTA KAZI KATIKA TAASISI ZA BIASHARA ZINAZOJISHUGHULISHA NA EIDHA SERVICE AU COMMODITY HASA VIWANDA AU MAKAMPUNI MAKUBWA YANAYO OPERATE KIMATAIFA ILI NIWEZE KUJENGA NA KUJIIMARISHA KATIKA FANI NILIYOISOMEA. NATAMANI KAZI KATIKA SEKTA HIZO NA NIPO TAYARI ENDAPO NITAITWA MDA WOWOTE.
UNAWEZA KUWASILIANA NAMI KWA E-MAIL victordmm@yahoo.com; au simu no. +255 756593929. Ahsanteni kwa ushirikiano wenu
Nakutakia kila la heri mkuu!
 
Kaka,
Nashauri ungefanya mpango wa kupata CPA kwanza kwa kuanzia maana sijaiona kwenye CV yako hii fupi. Then from there I hope mambo yatajipa maana utakuwa mile kadhaa kutoka ktk ushindani.
 
Kaka,
unaweza rusha kete yako huko ila kama nilivyoshauri mwanzo, naona pia hapa ni kigezo:

Job Title : Internal Auditor
Source : Daily News, 24 June, 2010
Requirements : Holder of CPA (T), CCA or its equivalent qualifications
Job Description :Reviewing financial records and internal control system in line with TEMDO set objectives and other statutory requirements
Apply To : Director General
Full Address : Tanzania Engineering and Manufacturing Design Organization, P.O. Box 6111, Arusha
Closing Date : 14/Jul/2010
 
Back
Top Bottom