mwekwa ntandu
JF-Expert Member
- Aug 24, 2019
- 952
- 2,206
Biashara sio mchezo ndugu,kwamba utaanza tu hata na mtaji mdogo kisha unakuwa kama bakhresa.'Kuna yule sista alikuwa anauza makande Ana masters from ughaibun'
Msiwe mnawasoma watu kwenye mitandao tu then mnadhani ndivyo mambo yalivyo.Huyo anayeuza makande nenda kaulize Mwz anauzia hayo makande yake wapi?Ofisi zake ziko wapi?Zile ni kiki tu.
Yuko Mwz hapo na hata sasa hivi ukienda yuko anauza dukani kwa dingi ake Spare za magari,ndio wenye villa park,wana mahostel ya maghorofa ya kupangisha wana vyuo.,etc
Sio mchovu huyo.
dodge
Sent using Jamii Forums mobile app