Unaweza kutumia software zipi,na je una uwezo wa kutumia external music instruments?
Kama we mkali tengeneza beats uza online....
nipe link mi niuze, nachezea sana FL, CU BASE, ADOBE AUDITION, VEGAS PRO, ADOBE PREMIERE, NUENDO, MAGIX MUSIC MAKER, NA LOGIC
Mi ni mwanafunzi wa st johns university. Nina uwezo mkubwa sana wa kutumia music softwares. Natafuta kazi niweze kutumia kipaji. Naweza tuma beats zangu ukasikia kabla hatujaonana kwa yoyote anaeweza nipa ajira.