God over everything
Member
- Feb 11, 2023
- 14
- 15
Habari za Mahangaiko Members.
Mimi ni kijana wa kiume (27), Naishi Dar es salaam.
Elimu yangu ni ya Form Six
Nimekuja mbele yenu kuomba Msaada wa Kazi iwe Kibarua kwa siku au kwa mwezi.
Nimeandamwa na malimbikizo ya Kodi ya CHUMBA.
Mungu amguse yeyote mwenye uwezo wa kutoa Msaada kwangu.
Asanteni.