Natafuta kazi/ajira nipo Dar

Cheza na information kiufupi hii nchi watu wengi wamekwama kwa kukosa Taarifa Ila Kazi huwezi kukosa Kama una Taarifa Sasa Jamaa ni Mwalimu wa lugha Tena English unadhani anakwama wapi wakati nchi na jamii ipo inapambana kutafta wataalamu wa kiingereza information is power hata Biashara huwa zinawapa faida sana wale wenye Taarifa sahihi

Baadhi ya watu wanapiga pesa kimya kimya na huwa hawatoi information ili wengine wapate so Taarifa ni muhimu
Sahihi kabisa
 
Ni Kijana Smart

Umri wangu miaka 24

Naishi Dar Kimara

Elimu yangu ni Bachelor Degree ya linguistics (English & Kiswahili)

Pia ujuzi wa Welding ninao mzuri

Nina uwezo wa kufanya kazi nyingine nyingine halali kama zipo

Kwa sasa sina mishe yoyote natafuta mishe kama ipo nitashukuru waungwana
Mkuu University of Dar es Salaam Press mbona walitangaza juzi tu hapa nafasi za mliosomea linguistics!! Pia hizi journals za research zinatafuta sana wataalam wa Linguistics kwa ajili ya ku edit publications na articles!! Just try to be active hasa kuwa karibu na academicians hapo UDSM then fursa utaziona kwa angle hiyo
 
Nashukuru kaka
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom