Habari wana JamiiForums,
Nnimejitokeza tena kwa mara ya pili baada ya kupata ushauri kutoka kwenu juu ya kilimo cha Mbaazi hapo nyuma, well nimepata elimu mbalimbali na kuhudhuria mpaka semina za mazao jamii ya mikunde na hivi majuzi nilikuwa nanenane pale kwenye banda la chuo cha utafiti wa mazao Ilonga. kifupi nawashukuru sana..
Kilicho nileta mara ya pili ni kuomba au kunifahamisha kampuni au mtu mwenye yale makatapila ya kusafisha na kung'oa visiki shambani na trekta la kulimia nataka kusafisha shamba langu lipo kisarawe so anyone anipatie taarifa hizo. Na bei yake kwa ekari 25.
Thanks much wanajamiiForums!