Natafuta Katapila la kukodisha

mwanapole

Member
Jun 1, 2016
18
5
Habari wana JamiiForums,

Nnimejitokeza tena kwa mara ya pili baada ya kupata ushauri kutoka kwenu juu ya kilimo cha Mbaazi hapo nyuma, well nimepata elimu mbalimbali na kuhudhuria mpaka semina za mazao jamii ya mikunde na hivi majuzi nilikuwa nanenane pale kwenye banda la chuo cha utafiti wa mazao Ilonga. kifupi nawashukuru sana..

Kilicho nileta mara ya pili ni kuomba au kunifahamisha kampuni au mtu mwenye yale makatapila ya kusafisha na kung'oa visiki shambani na trekta la kulimia nataka kusafisha shamba langu lipo kisarawe so anyone anipatie taarifa hizo. Na bei yake kwa ekari 25.

Thanks much wanajamiiForums!
 
MIUI hzo catapults ni ghali Sanaa Ndg Mwana zle znafanya kaz Kwa saaOTE="mwanapole, post: 17162528, member: 368089"]Habari wana JamiiForums,

Nnimejitokeza tena kwa mara ya pili baada ya kupata ushauri kutoka kwenu juu ya kilimo cha Mbaazi hapo nyuma, well nimepata elimu mbalimbali na kuhudhuria mpaka semina za mazao jamii ya mikunde na hivi majuzi nilikuwa nanenane pale kwenye banda la chuo cha utafiti wa mazao Ilonga. kifupi nawashukuru sana..

Kilicho nileta mara ya pili ni kuomba au kunifahamisha kampuni au mtu mwenye yale makatapila ya kusafisha na kung'oa visiki shambani na trekta la kulimia nataka kusafisha shamba langu lipo kisarawe so anyone anipatie taarifa hizo. Na bei yake kwa ekari 25.

Thanks much wanajamiiForums![/QUOTE]
Hzo
 
Ukipata Bulldozer ni muafaka kwa kazi hiyo ya kung'oa visiki,bei kwa 8hrs ilikuwa around 1,000,000/=mafuta juu yako.(Dude linabugia sana mafuta pia inategemea ukubwa wa dozer) lakini kwa Ekari 25 mnaweza ku negotiate.Kwa uzoefu mdogo nilio nao ukipata dozer(D8) ukampatia "motisha"operator hiyo ni kazi ya siku 2.
 
Ahsante sana kiongozi kwa ufafanuzi wako, so hawa jamaa wapo wapi ? Maana nikionana nao itakuwa vizuri sana
 
Kama uko Dsm jaribu kwenda pale Badir contractors wako Mandela road mita chache baada ya kuvuka daraja pale matumbi mkono wa kushoto kama unaelekea Buguruni.
 
Nashukuru sana mkuu, jumamosi nitakwenda kuongea nao
 
Nakwambia aliyekudanganya hilo limashine kakuingiza cha kike lile dude litakufilisi tafuta vijana na zana ni wiki tu watavimaliza
 
Mkuu huo ni ushauri tu anapewa,ataufanyia kazi ataangalia unafuu uko wapi.Lakini nachelea kusema ushauri wako unaweza kuwa ghali zaidi.Kung'oa visiki ekari 25 kwa vibarua wanaotumia majembe na sululu ni kazi kubwa na ni gharama kubwa.Kuna mahala mimi nilijaribu njia hiyo nikaambiwa ekari mmoja kung'oa visiki tsh laki tatu.
 
Ahsante pia kwa ushauri wako. Nitaongea nao then nipime kipi bora baina ya option hizo mbili
 
Nashukuru sana mkuu, jumamosi nitakwenda kuongea nao
Mkuu fanya utafiti kuhusu gharama utakuwa kwenye nafasi nzuri ya kuamua,njia ziko nyingi kuna tractor pia unaweza tumia.Lakini kama ni shamba lenye visiki vya maana mtu asikudanganye kutumia vibarua,utachemsha.
 
Mkuu huo ni ushauri tu anapewa,ataufanyia kazi ataangalia unafuu uko wapi.Lakini nachelea kusema ushauri wako unaweza kuwa ghali zaidi.Kung'oa visiki ekari 25 kwa vibarua wanaotumia majembe na sululu ni kazi kubwa na ni gharama kubwa.Kuna mahala mimi nilijaribu njia hiyo nikaambiwa ekari mmoja kung'oa visiki tsh laki tatu.
Shamba lina miti na visiki hivyo hata wao wataangalia watanipa bei yao nami ntaangalia kama bei yao itakuwa na manufaa kwangu but shamba lile kwa vibarua majanga
 
Mkuu Usiangaike na greda maana kaz kung'oa visiki lnatakiwa greda kubwa watakuambia lenyewe halitembei barabarani ni lile lnalotumia cheni kutembea unakodsha gar kulipeleka na kulirudsha gar pekee yke kwenda na kurud utambiwa milioni 3 bdo lenyewe malipo kwa saa milioni 1 kwa ekar hzo cjui masaa mangp bdo mafuta na opereta juu ykoo
 
Nashukuru sana mkuu ntafanyia kazi ushauri wako.
 
Mkuu kung'oa visiki bulldozer?

Huku dodoma vijana wanang'oa visiki kwa hekari moja sh 25000.

Jaribu kutafuta watu toka hapo ingia mikoani lakini bulldozer du! Labda kama wewe ni fisadi sawa.
 
Njia ziko nyingi,muhimu afanye cost effectiveness analysis atapata the best option.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom