Natafuta inkubeta.

mfuga kuku

JF-Expert Member
Jul 14, 2014
750
544
Habari wandugu,

kwa mdau yeyote ambae ana information ya wapi naweza kupata mashine ya kutotolesha vifaranga(inkubeta)
naomba anijuze, napendelea zaidi za mitumba.
 
Nashukuru sana lkn hizi za made in tanzania nimezitumia sana huwa zinaharibika haribika sana.
 
Nime ku pm mkuu uje uchukue mtumba from German.bei rahisi utafurah mwenyewe.
 
Habari wandugu,

kwa mdau yeyote ambae ana information ya wapi naweza kupata mashine ya kutotolesha vifaranga(inkubeta)
naomba anijuze, napendelea zaidi za mitumba.

Nenda pale Ubungo Business Park (Millenium Business Park) Opp na Shekilango road traffic light, Ulizia kampuni inaitwa 'Poly machinery Co' Utpata hapo Mashine za kutota vifaranga kuanzia vifaraga 88, 264, 352, 880, 1056, 2112 na 3168kubwa kabisa.

Ukiwa na swali lingine sema,

JM
 
Nashukuru sana lkn hizi za made in tanzania nimezitumia sana huwa zinaharibika haribika sana.
Hizi za hapa Tanzania ni nzuri pia ila inategemea na fundi, Ninayo moja ya hapa Tz ni nzuri nilitaka kuuza ila nimegahiri maana utendaji wake ni mzuri
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom