Natafuta gx 110 ya kununua kwa mtu

only83

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
5,343
2,525
WanaJF natafuta gari aina ya GX 110 ya kumvua mtu....specifications


  • Low fuel consumption...
  • Iwe imetembea km chache
  • Hisiwe imetumika zaidi ya mwaka.....
Inaweza kuwa how much? kma kuna picha nitashukuru....
 
Kuna Mercedes benz E class, 1997 model, 3.2L engine, green colour, leather seats,imeingia Tanzania mwaka jana 2010 July.Excellent condition. Wahi sasa. 10 million.
 
Kuna Mercedes benz E class, 1997 model, 3.2L engine, green colour, leather seats,imeingia Tanzania mwaka jana 2010 July.Excellent condition. Wahi sasa. 10 million.

Mkuu mimi nataka GX 110....
 
Kaka jihadhari na watu wa JF kuna mtu ana bajaj yake iliyokorongonyoka naye atataka akuuzie wakati si hitaji lako.
 
nenda SHOWROOM magari yameshuka bei sana GX 110 utapata kwa 16m CARJUNCTION NA AUTOREC,Ila hapa JF utapata mtu anauza na atakuambia 15m,gari yenyewe pata mtu aimeshatumika na iko mkononi kwa mtu
 
Mkuu najua unatafuta GX110(Toyota), nina kiboko nauza:
Subaru- Forester sports
Engine-turbo , 2000cc-explosive take off!!!
Gari umbo dogo sana (wengine wana confuse na kulinganisha na corolla)-performace zaidi ya GX110!!
Bei maelewano
Sababu ya kuuza: nimeleta nyingine Forester SG Sports moto zaidi,
Ni PM kama uko interested
 
WanaJF natafuta gari aina ya GX 110 ya kumvua mtu....specifications


  • Low fuel consumption...
  • Iwe imetembea km chache
  • Hisiwe imetumika zaidi ya mwaka.....
Inaweza kuwa how much? kma kuna picha nitashukuru....

Imeingia mwaka jana mwezi wa 9, km 84,000, ni PM nikupe bei
CIMG7298.jpg
 
Of any colour? na una prefer GX100 Cresta au Mark II?

Napenda sana rangi nyeupe, ila kama itakuwepo yenye rangi nyingine kama vile silver sio mbaya. Napendelea Cresta, (Exceed au Super Lucent)
 
Kuna mtu niliona anauza Verossa hapa 16M nadhani ni gari poa japo inakula mafuta kwa kiasi chake
 
Bollo Yang,
Kama una GX 100 ya kuanzia 1999 na kuendelea, injini 1G, PM me. You may make a business.

How much hiyo? na hakuna metallic or black colour...................
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom