Mbilimbili
Senior Member
- Mar 17, 2012
- 172
- 19
Hey mambo vp, mimi ni kijana wa kiume mwenye age ya 25. Ni mhitimu wa kidato cha nne, pia mhitimu wa mafunzo ya Ufundi kwa fani ya Umeme. Kwa hiyo nimejiajiri mwenyewe. Ni mrefu wastani na mweusi wastani, pia ni mkristo. Vigezo kwa msichana atatakiwa awe yupo Kilimanjaro kama mimi, awe mweupe na mrefu wa wastani. Umri wa miaka 18-23 akiwa mkristo kama mm itapendeza, pia kama ni mhitimu wa kidato cha itakuwa poa pia. Kwa aliyeko tayari ani Pm!