Dah huyo Kitomai ni dalali mzuri sana mimi nitamplekea kitanda akipige bei kinapiga kelele mno.
Hadi kitanda? si ukitengeneze ununune na kingine uwe navyo viwili.
Dah huyo Kitomai ni dalali mzuri sana mimi nitamplekea kitanda akipige bei kinapiga kelele mno.
Hadi kitanda? si ukitengeneze ununune na kingine uwe navyo viwili.
mkuu kaniki, kuna mshikaji wangu anauza nissan terano,cc 2700 ya 99 imetoka uk, kaiweka bond sababu pesa ya ushuru kakwama, yani kama utapenda unaweza kwenda hiona hata kusajiriwa bado, yani kwa bei hiyo anakupa bila ya pingamizi na utakuwa .
Sasa ndugu yangu, bei aliyosema ni gari iwe imelipiwa ushuru wote na wewe unataka kuumuzia kwa bei hiyo gari amayo bado haijalipiwa ushuru. Itakuwaje?