Natafuta gari

Kaniki1974

JF-Expert Member
Dec 2, 2008
352
22
Toyota au Nissan Brand.
Off-road diesel engine.
Prefarably cc not above 3200.
Year of manufacture not beyond 2000.
Iwe imelipiwa kodi zote.
Milleage isizidi 100,000

Mawasiliano hapahapa/seller may provide phone no.

OFFER TZS 15M NON NEGOTIABLE
 
Hapo kwenye mwaka na milleage sio kigezo sana kwa dunia ya sasa, wewe kagua gari fizically body na injini kama iko perfect
 
Mkuu wasiliana na mdau Dullymo ni member humu dealer wa magari.

Au member mmoja anaitwa Kitomai au Expertbroker hawa nao ni members humu ndani......! Lakini nina wasiwasi na offer yako inaweza kuwa ndogo kwa aina ya gari unalotaka!
 
Au member mmoja anaitwa Kitomai au Expertbroker hawa nao ni members humu ndani......! Lakini nina wasiwasi na offer yako inaweza kuwa ndogo kwa aina ya gari unalotaka!

Dah huyo Kitomai ni dalali mzuri sana mimi nitamplekea kitanda akipige bei kinapiga kelele mno.
 
Tazama picha zake. Ni Nissan Terano ya mwaka 98 bei yake inauzwa Tshs 15mil. Gari ipo katika hali nzuri ina cc sawa sawa na unazozihitaji. kama unaweza kuondoa sharti lako la 2000 tuwasiliana kupitia 0717 114409. la hauwezi nikuuzie Nissan Patrol ya mwaka 2000 ambayo bei yake ni sh 27mil. ambayo naye picha zake zimeambatanishwa. Sidhani kama itakuwa rahisi kwako kupata Nissan iliyo katika hali nzuri ya mwaka huo kwa sh 15mil.
 
Attachments

  • PIC01140.JPG
    PIC01140.JPG
    35 KB · Views: 52
  • PIC01141.JPG
    PIC01141.JPG
    29.5 KB · Views: 54
  • PIC01143.JPG
    PIC01143.JPG
    36.4 KB · Views: 54
  • PIC01144.JPG
    PIC01144.JPG
    35.4 KB · Views: 56
  • PIC01145.JPG
    PIC01145.JPG
    27.8 KB · Views: 52
  • PIC00245.JPG
    PIC00245.JPG
    43.6 KB · Views: 57
  • PIC00244.JPG
    PIC00244.JPG
    48.9 KB · Views: 53
  • PIC00242.JPG
    PIC00242.JPG
    44 KB · Views: 54
Last edited:
Tazama picha zake. Ni Nissan Terano ya mwaka 98 bei yake inauzwa Tshs 15mil. Gari ipo katika hali nzuri ina cc sawa sawa na unazozihitaji. kama unaweza kuondoa sharti lako la 2000 tuwasiliana kupitia 0717 114409. la hauwezi nikuuzie Nissan Patrol ya mwaka 2000 ambayo bei yake ni sh 27mil. ambayo naye picha zake zimeambatanishwa. Sidhani kama itakuwa rahisi kwako kupata Nissan iliyo katika hali nzuri ya mwaka huo kwa sh 15mil.

Rangi na mwaka mmmmmm.......Vipi Toyota mkuu, naweza pata? Would wish to campare before further talks...
 
Haya nayo yanauzwa. Mengine yapo lakini kwa sababu ya muda sitakutumia picha hivi sasa mpaka hapo baadaye
 
Attachments

  • CIMG0098.JPG
    CIMG0098.JPG
    56.3 KB · Views: 55
  • PIC00248.JPG
    PIC00248.JPG
    90.9 KB · Views: 115
  • PIC00891.JPG
    PIC00891.JPG
    49.9 KB · Views: 48
Sawa,Mnaotoa matangazo muwe serious na siyo mnafanya utani. Kama una 15milioni kwa nini usiagize Japan.? Wape hizo details zako.?
 
Sawa,tumekusikia ila uwe serious na hilo gari usije ukawa unauza jina tu ili watu wajue kuwa nawe una mchongo wa kuchukua mchuma.
 
Tazama picha zake. Ni Nissan Terano ya mwaka 98 bei yake inauzwa Tshs 15mil. Gari ipo katika hali nzuri ina cc sawa sawa na unazozihitaji. kama unaweza kuondoa sharti lako la 2000 tuwasiliana kupitia 0717 114409. la hauwezi nikuuzie Nissan Patrol ya mwaka 2000 ambayo bei yake ni sh 27mil. ambayo naye picha zake zimeambatanishwa. Sidhani kama itakuwa rahisi kwako kupata Nissan iliyo katika hali nzuri ya mwaka huo kwa sh 15mil.

hEBU NITAFTIE DISCOVERY YA 2002-4 2.5D AUTOMATIC FIVE DOORS MILLEAGE SIO ISHU BASI
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom