natafuta gari ya kununua

teac kapex

JF-Expert Member
Jan 23, 2011
470
136
natafuta gari ya kununua hiace super roof isiyozidi ml 18 lkn iwe ktk hali nzuri iwe haidaiwi tra namambo mengine
 
Mkuu nenda Zanzibar utapata from showroom imported kwa mpaka 17Mil, kuivusha + Plate number unaongeza 2mil,
Hapo inabaki bima na makorokoro mengine.
 
nashukuru kwa ushauri wako lkn kama kuna mwingine mwenyr habari zaidi anijuze
 
Mkuu nenda Zanzibar utapata from showroom imported kwa mpaka 17Mil, kuivusha + Plate number unaongeza 2mil,
Hapo inabaki bima na makorokoro mengine.
Kweli magar zenji yako bei poa kidogo tatizo ukilileta bongo TRA wanalifanyia tax evaluation upya maana zenji tax zao ziko chini. Difference ya tax inabidi ulipe na mwisho wa cku unajikuta hukusave lolote.
 
Si ndio nimekuambia unaongeza 2mil ya usafiri wa meli, TRA, plate number + Agent Fee.
Sasa kuliko umvue mtu hapa bongo kwa 18Mil gari ambayo ishatumika sana tu, si bora uongezee 1mil upate yenye uhakika mkuu wangu??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom