Natafuta gari-suzuki escudo offer 5-6million

kuna escudo imetangazwa mida hii hii humu hebu peruzi ndigu yangu!!
 
Tunayo Suzuki Escudo V6, Inatembea, rangi ya blue with silver lining (sina picha kwa sasa) tunauza, tafadhali piga simu namba +255759259904, upate kuiona na kupata bei

Natafuta gari-suzuki escudo offer 5-6million
 
Kama hujafikia uwezo wa kumiliki gari ni bora pesa ufanyie shughuri zingine za maendeleo, kabla haujakwenda mbali uliza kwanza hiyo Suzuki Escudo used kutoka Japan mpaka ifike barabarani inacost how much? then ndio utajuwa kama hiyo millioni 5 unahitaji kuwa rafiki wa magereji. Bajaj inauzwa millioni 4.5 sasa wewe unataka gari kwa millioni 5!!
 
Kaka matola usiseme hivyo, wengi tumeanzia huko huko! usawa huu mgumu, kwa wenye kipato cha chini ni lazima tuwe wajanja sana katika kufanya manunuzi ya kitu chochote. Kuna jamaa yangu yeye ananunua magari yaliyopata ajali tu, kama una gari ya maana iiliyopata ajali naweza kukuunganisha naye! Shida hufunza kaka, kama wewe unanunua brand new una heri wewe, sisi wengine hizo walizotupa wajapani na waingereza ndiyo mpya!
 
Nakuunga mkono Amoeba. Si magari yote yenye bei ndogo ni mabovu, wengine wanauza ili kubadili ladha tu. Escudo za m5 hadi m6 zipo kibao na ni nzuri tu. Matola, km mfuko ni mdogo, si lazima kung'ang'ana na imports, hata hapa uswazi kuna magari mazuri ya bei za kawaida tu.
 
Last edited by a moderator:
Wadau kwani magari yamekwisha huko majumani kwenu.kama yapo yatoeni watu wengine watumie.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom