Natafuta garage nzuri ya kutengeneza a.c za magari

MKATA KIU

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
2,864
6,235
Wadau naombeni msaada wa mawazo, ipi ni garage nzuri ya kurepair car a.c,, maana nateseka na joto hili baada ya a.c ya gari kuzingua..

thanks for your cooperations
 
Wasiliana na Musa-Kariakoo Gerezani-0715204184.

Huyu ni fundi mwaminifu, hodari na mtaalamu wa Engine. Ana timu yake iliyokamilika katika nyanja zingine. Mimi humtumia kama Supervisor wa service ya magari ya Boss wangu. Jana tu wamenitengeneza A/C ya Grand Mark II ya Boss ilikuwa inasumbua sasa iko full kipupwe. Na hapigi cha juu.
 
Upo maeneo gani?

Kuna kijana yupo maeneo ya Victoria, karibu na hospital ya Mission Mikocheni.

Mcheki kwenye simu hapa:

Bariki, 0712 958900
 
Mkuu,

Nenda pale Kinondoni makaburini opposite na mgahawa wa Manhattan kuna vijana pale wanalamba matatizo ya AC kama mchezo. Hawana longolongo unasubiri gari yako unaondoka nayo na hawana tamaa ya kucharge hela nyingi sana. Kawajaribu.

Tiba
 
Hawa Vijana hata mimi nimeshawatumia kwa gari mbili tofauti, na kazi yao ni safi sana... Halaf charge yao sasa ndio utashangaa... sijawahi kuchargiwa zaidi ya elfu 10...
 
Upo maeneo gani?

Kuna kijana yupo maeneo ya Victoria, karibu na hospital ya Mission Mikocheni.

Mcheki kwenye simu hapa:

Bariki, 0712 958900

kaka nipo Maeneo ya Tabata but nafanya shughuli zangu town, so nitamtafuta, thanks for your cooperation
 
Inategemea system ya gari gani. Ya kwangu ni Super custom - Hiace na nimeshajaribu baadhi ya waliotajwa hapa lakini mpaka leo kimeo. Opinion yangu ni kuwa kwa Dsm sijaona fundi wa ac ambaye ni mwisho wa matatizo kwa system zote. Ila jaribu.
 
hapo akili mukichwa,

sasa mkatakiu unalia nini?? lol

Ikunda, that avatar means alot to me, but inshort i am coming from life of crying, i cry alot in my life in different moments after alot of life disspointments from people i believe,,, lets ended there, hopin you get me....
 
mkuu endelea na hiyo habari, tupo pamoja
 
Hawa Vijana hata mimi nimeshawatumia kwa gari mbili tofauti, na kazi yao ni safi sana... Halaf charge yao sasa ndio utashangaa... sijawahi kuchargiwa zaidi ya elfu 10...

Mkuu.. kuwa specific kidogo kwa faida ya wote. Wametajwa vijana wa maeneo mbalimbali.
Unaowasema wewe ni wepi? wa eneo gani?
Asante
 
Back
Top Bottom