Natafuta field!!!!

mimi ni second year student katika chuo cha IFM [institute of finance management], taking bachelor of banking and finance, natafuta field kwenye benki yeyote iliyo hapa Dar au Mwanza, resuls zangu first year was GPA of 4.0, please people am serious on the issue.

kama uko serious si lazima useme uko serious unapojinasibu kuwa upo serious ni ushaidi tosha kwamba haupo serious, field na GPA wapi na wapi?
 
Acha ujivuni wewe,GPA unaweka hili iweje? Field wanafunzi wote wanapata hata ukipata 2.1 kama ya __________,acha ujivuni huo,hayo mambo yapo CoET.
 
huwez amini nina jamaa yangu amepeleka barua ya kuomba field pale CRDB huwezi amini wamemtolea nje, wamedai wana anza kuchukua kuanzia 3.5, kwahiyo usinielewe vibaya jamani!!,lakini pia kama nimewakwaza niweni radhi!!!, ila palipo na uwezekano naomba msaada juu ya ombi langu kwa mtu alie tayari kunisaidia.
hawa crdb wezi wa watupu gpa na field wapi na wapi......ngoja ntakuulizia benki ya nbc.....wana tawi jipya mbezi beach ntakuchekia huwa naendaga sana pale
 
hawa crdb wezi wa watupu gpa na field wapi na wapi......ngoja ntakuulizia benki ya nbc.....wana tawi jipya mbezi beach ntakuchekia huwa naendaga sana pale

nitakushukuru sana, na namba yangu ya simu kama hautajali ni 0719058458 .
 
Kuna baadhi ya fani wanaangalia GPA ukiomba field hasa fani za uhasibu. Mkuu hajakosea kuweka GPA hapa

Lakini mimi siamini sana kwenye GPA za siku hizi,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom