Natafuta duka linalouza injini za pikipiki

kindoki

JF-Expert Member
Sep 17, 2018
213
218
Wadau, natafuta duka linalouza injini mbalimbali za pikipiki, nipo mkoani KIGOMA, kwa anayefahamu aje PM au kwa WhatsApp no 0758204681
 
Wauzaji wakubwa wa vifaa vya pikipiki ni saba general enterprises. Wako Arusha Dar Moshi na Mwanza.
 
Back
Top Bottom