Natafuta dawa ya mende

hivi unafikiri kwenda kazini ni kama kwenda CHOONI KUKOJOA kwamba kila mtu asubuhi ataenda kushusha mkojo?

mkuu hii nchi inakabiliwa na janga la AJIRA kwa muda mrefu sana hebu fikiria tena ulichoandika
Hamna bana haiwezekani alfajiri yote hii mtu huko jamvin unaleta mada na kuchangia. Huu ni mda wa kwenda kazini na vibaruani kuchakarikaili taifa lisonge mbele kimapato na kimaendeleo.

Tubadilikeni
 
Kuna Dawa Inaitwa LAVA Ni Ya Maji Ukinyunyiza Hiyo Ni NZuri Inauwa Wote
Mende , Papasi, Mbu, Kupe Nyunyiza Kwenye Maficho Yao
 
Hamna bana haiwezekani alfajiri yote hii mtu huko jamvin unaleta mada na kuchangia. Huu ni mda wa kwenda kazini na vibaruani kuchakarikaili taifa lisonge mbele kimapato na kimaendeleo.

Tubadilikeni
Wewe ndio unastahili kubadilika mkuu. Yeye amepost kulingana na muda wake unavyomruhusu, na humu wadau huwa tunachangia kila mtu kulingana na muda wake utakavyomruhusu. Ndio maana thread inaweza ikawa ya mwaka jana, ila mwingine akacomment mwaka huku.

Kitu cha kujiuliza, kama ww uko busy na unajiandaa kwenda kazini kujenga Taifa, jamiiforums uliingia kufanya nn asubuhi hii? Au ulitegemea ukute mada gani?

Man up broh!
 
Kwa wadau nasumbuliwa na mende ambao wanazaliana kwenye makaro ya maji machafu, ambaye anajua dawa anijuze.

Sent from my CPH2371 using JamiiForums mobile app
Mji uliopo nenda kati ya mji wsnapouza dawa ama kemikali za kutengenezea sabuni.

Nunua kichupa cha CITRONELLA haizidi elfu kumi, ukifika home mimina kifuniko kwenye maji ya kupigia deki. Piga deki ngumba nzima kila kona na kama una bomba ya furmigation weka vifuniko viwili maji ya lita 10 piga famigesheni ukitani madirisbani na kona zao.

Harufu ya citronela (haikeri) itaisha baada ya muda mfupi. Lakini maeneo yote yaliyopigwa deki ama famigesheni harufu haitatoka kwa wadudu zaidi ya miezi 6.

Mimi mwaka wa 3 huu hakuna mende wala mboga ya kusini wanaovuka kizingiti khingia ndani
 
Inaua mbu pia?
 
Back
Top Bottom