B51
JF-Expert Member
- Jan 1, 2019
- 569
- 781
Habari zenu wadau,
Naombeni msaada wa kuelekezwa ilipo hospital yenye kubobea (specialy) ya magonjwa ya wanawake Kwa hapa Dar es salaam. Au ni Dr yupi mnamfahamu ni specialist wa magonjwa ya wanawake na anapatikana wapi/hospital gani.
Ahsanateni
===
Huyu mwanamke anasumbuliwa na maumivu makali akifanya mapenzi, anatokwa uchafu wa damu sometimes (sio wakati akingoneka).
Alienda hospital ya kwanza akimwa mkojo na damu. Wakampa dose ya sindano5 na dawa. Akamaliza but hakuwa sawa.
Akaenda hospital nyengine akawaambia dawa alizotumia before, wakampima waakasema bado tatizo lipo.
Wakampa dose ya sindano3 na vidonge. Akatumia lkn hali haikuwa poa. Uchafu unaendelea kutoka na maumivu wakati wa show kama kawa.
Akaenda hospitali nyengine akamfanyia ultrasound na vipimo vyengine (ikiwemo cancer).
Akapewa dose ya tena 5 na vidonge but haikumsaidia. Akarudi tena pale pale akakutana na Dr yule yule akamuelezea hali ilivyo. Akambadilishia dose akampa dawa ya kunywa(CITAL) na vidonge (metronidazole na amoxicllin).
Amemaliza dose but hali haijawa sawa japo maumivu yamepungua akingoneka but na uchafu ulioambatana na damu bado unataka japo sio sana lkn huwa unatoka.
So ana mashaka sana na Hana amani ndio maana anahisi akipata doctor aliye bobea Kwa magonjwa ya kinamama atapata msaada.
But kama kuna namna anaweza kupata msaada Kwa maelezo hayo karibuni wanajamvi.