Last edited by a moderator:
Mkuu manoah usiikimbie ndoa bana we kubali siku moja ukiwa na mwenza haya mambo ya baridi sijui nini wala mfuko kuishiwa sometime unayasikia kwa watu mnasaidiana aiseah ah ah! Mr Rocky umenifurahisha sana... hasa kwa sie wa tu sio na kanuni maalumu hata chai ya kupasha mchango unakuta haipo, lazima uombe poo
Mr Rocky ni kweli mkuu uyasemayo, ila changamoto nazo zipo juu sana mkuu
Changamoto hazikosekani mkuu manoah kwenye haya maisha na hakuna muda ambao ukishafikia umri kama wetu utasema ahhh ngoja nirelax sasa nimemaliza kila kitu
Kila siku ni challenge mpya na naona ni bora hata kuw ana familia ukiwa kijana ili ujue la kufanya na watoto ambao wanahitaji elimu bora na malezi angali ukiwa kijana kuliko kusubiri ukiwa mzee ndo watoto wako wanaanza shule
manoah hilo ni la kumtanguliza Mungu mbele sana kwa imani yako ukiomba Mungu atangulie katika kukuonyesha mke na sio mwanamkeNi kweli Mr Rocky , challenge za kimaisha ni kweli hazi kwepeki, ila zinazotoa changanya na kutia pressure ni hizi za kupata mwenza sahihi, mke au mume anaweza changia mkaendelea au mkapoteana, hapo sasa ndipo ninapoa achwa njia panda
manoah hilo ni la kumtanguliza Mungu mbele sana kwa imani yako ukiomba Mungu atangulie katika kukuonyesha mke na sio mwanamke
Kukuonyesha mtu wako wa karibu ambaye atakupenda the way ulivyo na atakujali na atakuchukulia kama mwenza wake na atafanya kila njia kuhakikisha kuwa unapata amani ya moyoni na unafurahia maisha yako
Mnakuwa pamoja kuijenga familia yako na kuhakikisha ustawi wa hiyo familia
Mcha Mungu na mwenye hofu ya Mungu ndani mwake
Huo ni mtihani kaka
my Passion Lady nimuachie nani? nimegundua njama zako.
awe mke wa pili? anajua kuzichapa lakini?
Naomba unisaidie nisije kutapeliwa humu ndani mwaya sitaki mwanaume wa mtuu
unasemaje,mke wa pili na nani?
toa talaka kwanza thn uoe huyo
wa pili,mitala siiwezi,cha kuja kuzibwa kikojoleo?akhaaa babu!!
kweli kabisa my akanana Passion Lady
hahahahahaha
my akanana siweezi kuongeza wa pili wewe watoshaaaaaaaa