Natafuta couple chit chat

ila Mr Rocky haya mazingira ya baridi omba yasiwe yanakukuta ukiwa na stress, maana uaweza hisi kama baridi limeongezeka vile, kumbe mawazo tu
manoah ukiwa na stress na apeche alolo mfukoni huna hata mia utaiona baridi imeongezeka ghafla na kuna mtu amezidisha kitufe cha kuongeza baridi
 
Last edited by a moderator:
ah ah ah! Mr Rocky umenifurahisha sana... hasa kwa sie wa tu sio na kanuni maalumu hata chai ya kupasha mchango unakuta haipo, lazima uombe poo

Mkuu manoah usiikimbie ndoa bana we kubali siku moja ukiwa na mwenza haya mambo ya baridi sijui nini wala mfuko kuishiwa sometime unayasikia kwa watu mnasaidiana aise
 
Last edited by a moderator:
Mr Rocky ni kweli mkuu uyasemayo, ila changamoto nazo zipo juu sana mkuu

Changamoto hazikosekani mkuu manoah kwenye haya maisha na hakuna muda ambao ukishafikia umri kama wetu utasema ahhh ngoja nirelax sasa nimemaliza kila kitu
Kila siku ni challenge mpya na naona ni bora hata kuw ana familia ukiwa kijana ili ujue la kufanya na watoto ambao wanahitaji elimu bora na malezi angali ukiwa kijana kuliko kusubiri ukiwa mzee ndo watoto wako wanaanza shule
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli Mr Rocky , challenge za kimaisha ni kweli hazi kwepeki, ila zinazotoa changanya na kutia pressure ni hizi za kupata mwenza sahihi, mke au mume anaweza changia mkaendelea au mkapoteana, hapo sasa ndipo ninapoa achwa njia panda

manoah hilo ni la kumtanguliza Mungu mbele sana kwa imani yako ukiomba Mungu atangulie katika kukuonyesha mke na sio mwanamke
Kukuonyesha mtu wako wa karibu ambaye atakupenda the way ulivyo na atakujali na atakuchukulia kama mwenza wake na atafanya kila njia kuhakikisha kuwa unapata amani ya moyoni na unafurahia maisha yako
Mnakuwa pamoja kuijenga familia yako na kuhakikisha ustawi wa hiyo familia
Mcha Mungu na mwenye hofu ya Mungu ndani mwake
Huo ni mtihani kaka
 
Last edited by a moderator:
Mr Rocky ! umenigusa saa kaka
ushauri ulioipa nitaufanyia kazi ni muhimu kwangu na kwa feature yagu ya hapo badae

manoah hilo ni la kumtanguliza Mungu mbele sana kwa imani yako ukiomba Mungu atangulie katika kukuonyesha mke na sio mwanamke
Kukuonyesha mtu wako wa karibu ambaye atakupenda the way ulivyo na atakujali na atakuchukulia kama mwenza wake na atafanya kila njia kuhakikisha kuwa unapata amani ya moyoni na unafurahia maisha yako
Mnakuwa pamoja kuijenga familia yako na kuhakikisha ustawi wa hiyo familia
Mcha Mungu na mwenye hofu ya Mungu ndani mwake
Huo ni mtihani kaka
 
Last edited by a moderator:
Huku kuna baridi ambayo ikiwa ya juu ni kama ya arusha mida ya sa 12.30 iv jioni
 
Asante sana Mr Rocky , siku hii ya leo kuna kitu kipya kimeingia ndani yangu kupitia wewe.
ninacho kuahidi, nitaishi ushauri wako a pale niapohitaji sito sita kukutafuta ndugu.

Hakuna shida mkuu pamoja sana manoah
Asante pia kama kuna kitu umekipata mkuu cha kukusaidia maishani
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom