Natafuta Container la Futi 20

Elli

Platinum Member
Mar 17, 2008
55,501
86,044
Hi HJF,
Natafuta kontena la futi 20 la kununua, naomba kama kuna mahali wanauza kwa Dar unielekeze, unaweza kuni-PM
Thanks
 
yapo yanauzwa 2.5 milioni ki;a moja hapa dar nitafute kwa no yangu ya simu ya mkononi 0717958432.
Hata na kama kuna mwingine yeyote mwenyekuhitaji tuwasiliane.
 
Kuna jamaa atakucheki basi fasta fasta mtakubaliana bei wenyewe huko aliniomba tu msaada
yapo yanauzwa 2.5 milioni ki;a moja hapa dar nitafute kwa no yangu ya simu ya mkononi 0717958432.
Hata na kama kuna mwingine yeyote mwenyekuhitaji tuwasiliane.
 
Asante sana sana nimechiki na mhusika leo anasema anatka kwanza muuzaji awe na proforma Invoice na Tax Invoice yaani anasema anatka biashara ya wazi na huru
Weka bei hadharani mkuu! Tahadhari: Nunua kontena lenye documents.
 
Bado sijapata mtu jamani, naombeni mnisaidie nilipate
 
Elli ulipata kwa kiasi gani? na mimi nafikiria kununua moja mkuu
 
ilikua futi 20 kwa shilingi million nne na nusu Mpwa

Kweli wafanyabiashara wanapata faida sana container ft 20 kwa 4.5ml!!!hao jamaa wanaponunua mzigo nje wananunua pia container ili uwekee mzigo wako (ukipenda)wanapata container safi lenye cheti cha kusafirishia mzigo kwa laki 8.5,(container haliwezisafirishwa melini likiwa na mzigo kama halina ubora)baada ya kulifikisha Dar wanatoa mizigo yao..Sikujua kama container ni dili hivi!!!!
 
Mpwa lete tufanye dili bhana

Luck sabasaba mimi natafuta container ya futi 40 unaweza lipata ninunue kutoka kwako?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom