natafuta chumba

Huyu mgeni kweli?
Mbona kama naniliyu ila tu kabadili mtandio?

Mgeni kama unakata mchumbe wa kike umenipata, kama unataka wa kiume umenipata pia.

he!!!!!!!!!mbona mie nabaki kinywa wazi?????????we nani kwani!!!!!!!!!!me au ke????????????
 
Kongosho tumsaidie kumshika mkono huyu si unaona amekaribishwa na Katavi kwa maji magumu, hata huyu Blue G naye ni komba ukimpa yale maji yetu pasiasi ataomba afungiwe mrija kwenye tank la bruariz.

looooooooooooo we naniliyu jinias kweli ulijuaje yote hayooooooooooooo mi ni pampula bin sokomoko upo hapo????????
 
jinsia yako Blue G , umri wako, waish wapi,
wachumba wapo tele humu,
ni wewe tu!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom