Jemima Mrembo
JF-Expert Member
- Jul 19, 2021
- 2,791
- 8,005
Natafuta chumba kizuri sana mitaa ya Mwenge kiwe master, choo, bafu, jiko na mahitaji yote muhimu.
Kiwe eneo lenye usalama wa kutosha na kiwe jirañi na lami.
Chumba hiki ni kwa ajili ya wageni wangu wa ofisi. Kikiwa fully furnished itakuwa nzuri sana.
Karibu
+255755233968
Kiwe eneo lenye usalama wa kutosha na kiwe jirañi na lami.
Chumba hiki ni kwa ajili ya wageni wangu wa ofisi. Kikiwa fully furnished itakuwa nzuri sana.
Karibu
+255755233968