INAUZWA Natafuta cabin (kichwa) cha mitsubish canter mayai ndogo

Kiny

JF-Expert Member
Sep 3, 2012
289
57
Hi JF
Natafuta cabin / kichwa cha mitsubish canter kwa ajili ya kurekebisha gari yangu canter tipper iliyopata ajali.
Sifa za cabin.
Iwe ni ya canter mayai siyo box
Iwe na dash body complete isiyochakaa
Rangi yoyote inakubalika.
Cabin iwe complete yani ina kioo na milango iliyokamilika.

Bei ni maelewano.
Nitafute kwa simu watsap/ call / sms 0711286971.
IMG-20200407-WA0035.jpg
IMG-20200407-WA0038.jpg
IMG-20200407-WA0037.jpg
IMG-20200407-WA0036.jpg
IMG-20200407-WA0035.jpg
IMG-20200407-WA0040.jpg
IMG-20200407-WA0039.jpg
 
Back
Top Bottom