natafuta boyy, nipo dar es salaam

Mimi nipo dar es salaam, natafuta boyi kwa lugha ya kwetu inaitwa shaghii. Ni ile ya kushikia sufuria wakati wa kusonga ugali. yenyewe ina umbo la "Y". Mwenye kujua zinapo uzwa hapa dar naomba anisaidie kunielekeza, nisaidieni coz mikono inaungua.
Ni hayo tu. mia

Nenda mtaa wa gerezani kariakoo utazipata. mia...
 
Mimi nipo dar es salaam, natafuta boyi kwa lugha ya kwetu inaitwa shaghii. Ni ile ya kushikia sufuria wakati wa kusonga ugali. yenyewe ina umbo la "Y". Mwenye kujua zinapo uzwa hapa dar naomba anisaidie kunielekeza, nisaidieni coz mikono inaungua.
Ni hayo tu. mia

Naomba nijitolee kukuweka mjini kwa muda wako wote,hadi utakapoamua kurudi kijijini kwenu Sitimbi.
 
Samahani mtoa mada , sisi wengine wazee wetu shughuli zao ziliwafanya waishi nje ya Tz na sie kuzaliwa na kukulia huko.
So far vitu vingi vya local hatuvijui, hivyo nauliza hiyo boyy inatumia batery au churgable ? Au iko kama Microwave? Afu kumbe fujo zako zote hapa Jf kumbe ugali wasonga mwenyewe?
Pole weweee!
 
Asonge wapi?
Mkewe sasa hv ana :mimba: ndo kaamua kumsaidia kuingia jikoni kusonga bada.
 
naomba unisaidie kujibu swali la huyo aliye kulia nje ya nchi. yeye anafikiri Ugali wa watu kumi mwanamke atauivisha!, namshangaa sana!. naandika kwa tabu sana. mia
 
Asonge wapi?
Mkewe sasa hv ana :mimba: ndo kaamua kumsaidia kuingia jikoni kusonga bada.

Alaaa!
Na hivi anamiliki chumba kimoja cha uani si rahisi akaajiri hata beki'witiri , atamlaza wapi ! Maskini anatia huruma.
 
Alaaa!Na hivi anamiliki chumba kimoja cha uani si rahisi akaajiri hata beki'witiri , atamlaza wapi ! Maskini anatia huruma.
Huyo beki three atakua amekuja kufanya mambo mengine sio kupika. kwani nmekuwa na shughuli hadi nitafute watu wa kupika?. nakikiri anaweza akanenepa tumbo siku hiyo hiyo!. wewe unaye?. mia
 
Sio ninae!
Ninao !
Wawili .
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom