Natafuta BB pin ya JK, Slaa, Zitto, January, Mbowe,Lipumba na Maxence

Nduka

JF-Expert Member
Dec 3, 2008
8,552
2,360
Kama kuna mtu anaweza kunipa pin za hawa watanzania naziomba ninamazungumzo nao nadhani kwa BBM itakuwa ni vizuri zaidi kwa sababu za kiintelijensia. Asanteni.
 
Back
Top Bottom