Natafuta ajira za kibarua, nipo Mbeya

Habarini wakuu,

Naomba kwa anaefahamu sehemu wanatoa vibarua kwa siku Mbeya, iwe ni kiwandani ama kwenye miradi ya ujenzi, barabara n.k naomba anisaidie conection au utaratibu wa namna ya kupata hivyo vibarua nina uhitaji nacho sana nawaomba wakuu kwa waliopo Mbeya.
Una ujuzigani mkuu
 
Hapa mbeya kaka kama huna harakati. Dili la fasta Uselevenda. Huko utapatia mtaji wa Biashara ndogo. Jiajiri.. Shida nyi wasomi mnadharau kazi ndogo mwisho mnazeekea Home.
 
Kaka mm natafta hizo hizo kazi za vibarua sio za ofisin kama unafaham mahali pana hizo kazi niunganie au nipe utaratibu zinapatikana vip
 
Hi
Hapa mbeya kaka kama huna harakati. Dili la fasta Uselevenda. Huko utapatia mtaji wa Biashara ndogo. Jiajiri.. Shida nyi wasomi mnadharau kazi ndogo mwisho mnazeekea Home.
Hilo dili linapatikana vipi niunganishe na mm nipe namba yako kiongozii
 
Habarini wakuu,

Naomba kwa anaefahamu sehemu wanatoa vibarua kwa siku Mbeya, iwe ni kiwandani ama kwenye miradi ya ujenzi, barabara n.k naomba anisaidie conection au utaratibu wa namna ya kupata hivyo vibarua nina uhitaji nacho sana nawaomba wakuu kwa waliopo Mbeya.
Duh mkuu before hujaja hukuuliza kupata fununu? Mbeya ni miongoni mwa mikoa yenye mzunguko mdogo wa hela,usije kutafutia maisha aka mtaji mkuu..UTAUMIAA,stori za misosi na vyakula bei chini zisiwachangsnye,huku vyakula vingi ila hela ya kununulia hayo mazaga kipengelee
 
Habarini wakuu,

Naomba kwa anaefahamu sehemu wanatoa vibarua kwa siku Mbeya, iwe ni kiwandani ama kwenye miradi ya ujenzi, barabara n.k naomba anisaidie conection au utaratibu wa namna ya kupata hivyo vibarua nina uhitaji nacho sana nawaomba wakuu kwa waliopo Mbeya.
Kaka unakwa wapi mbeya sehemu nyingi Sasa wanavuna mipunga hapo mjini upatikanaji wa Hela ni changamoto kama hutojali jaribu kuzamia ubaruku au kapunga
 
Habarini wakuu,

Naomba kwa anaefahamu sehemu wanatoa vibarua kwa siku Mbeya, iwe ni kiwandani ama kwenye miradi ya ujenzi, barabara n.k naomba anisaidie conection au utaratibu wa namna ya kupata hivyo vibarua nina uhitaji nacho sana nawaomba wakuu kwa waliopo Mbeya.
Mkuu message inagoma kuja
 
Nomba nielek

Unaweza share hapa kiongoz au nikutumie namba ya watsup?
Kule zinavuna combiner harvest sanasana hivyo kazi zilizopo nizakubeba vipeto vya mpunga kutoka mashambani kuja Hadi gari linapopakia pia kuna kazi za kupakia kwenye magari kule ukiwa una nguvu kiasi chake msimu huu hukosi 30k Kwa siku japo kunanjemba zinapiga Hadi 100k per day. Kwahiyo watano huu huu usicheze mbali na hizo sehemu
 
Shukrani kakaa nitasogea huko
 
Habarini wakuu,

Naomba kwa anaefahamu sehemu wanatoa vibarua kwa siku Mbeya, iwe ni kiwandani ama kwenye miradi ya ujenzi, barabara n.k naomba anisaidie conection au utaratibu wa namna ya kupata hivyo vibarua nina uhitaji nacho sana nawaomba wakuu kwa waliopo Mbeya.
Watu wa mjini mna shida sana,si uende Vijijini msimu wa mavino huu umefika?

Pili.kazi ngumu za vibarua Huwa hazitafutwi kwenye mitandao kama jf ,ingia mtaani ukiona Kuna ujenzi nenda hapo ndio sehemu ya nafuu ya kuweza pata kibarua
 
Shukran kiongozi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom