Natabiri mechi ya leo kati ya Mancity na Liverpool kutakuwa na maamuzi mabaya kutoka kwa Refa VAR

Mimi naweka utabiri wangu kuwa hi mechi itaisha kwa draw ya kufungana 2 kwa 2(liver2 na city 2)save post hii
 
Sie wa kipato kidogo watumiaji wa king'amuzi cha Azam tunateseka sana. Mpaka uende kwenye kibanda umiza kwenye DSTV.

Je, lini Tajiri yetu Bakhresa Mkombozi wa watu wa kipato cha chini atafanikiwa kuonesha league ya Uingereza kwenye King'amuzi cha Azam.? Naamini Tajiri Bakhresa akiamua jambo hashindwi.
 
Back
Top Bottom