Natabiri: CCM kupata ushindi mkubwa dhidi ya UKAWA sababu...

Magufuli anapiga mbizi kuelekea kigamboni, kwani amekosa mia mbili ya nauli?? Hata hivo mwache apige mbizi kwani si mwenyewe alishasema "asiyekuwa na mia mbili na apige mbizi" safari hii atapiga mbizi nchi kavu.
 
Kwendeni huko mafisi. Mpate 95 kivipi wakati kikwete alitoka 80 akaja 61 na sasa Makufuli ataenda 42. Politics is mathematics nawahakikishieni Lumumba kutabaki historia jiandaeni kuwa chama pinzani

Mkuu hata hiyo 61 yenyewe ilikua bao la mkono! Nani asiyejua? 2010 mambo yangeenda kihalali saa hizi tungekua kwenye campaign ya muhula wa pili wa dakta. Ila safari hii kisiki tunaking'oa
 
Mkuu hata hiyo 61 yenyewe ilikua bao la mkono! Nani asiyejua? 2010 mambo yangeenda kihalali saa hizi tungekua kwenye campaign ya muhula wa pili wa dakta. Ila safari hii kisiki tunaking'oa

Mbona mlikuwa mnasema kuwa Dr alishindwa 2010 na mkampa Lowassa hiyo nafasi?
 
Mbona mlikuwa mnasema kuwa Dr alishindwa 2010 na mkampa Lowassa hiyo nafasi?

Watasema hivyo washabiki wa pupa (glory fans). Ukweli wa 2010 unajulikana wazi. Ila hayo si ndwele...tunaganga yajayo. Kwenye siasa lazma uwe dynamic na uweze kubadilika na nyakati. Ndio maana tukabadili gia angani. lowassa ana ufuasi mkubwa na bi best chance ya kung'oa kisiki.
 
Wapinzani wanazidi kufarakana huku CCM wakiimarika

Kuna kipindi nilikuona kama mtu mbea lakini kwa sasa naamini kile ulichokuwa unakisema. Upinzani Tanzania haupo isipokuwa kuna wanasiasa wenye uchu tu na madaraka.
 
Dokta gani? Huyu mlimtupia mizigo kwa sababu ya lowassa au Dr yupi? Wanafiki sana nyie, kama Dokta alishinda kwanini mwaka huu mmemtupa pembeni?

Kwahiyo na nyie fisiemu tuwaite wanafiki kwa kumtosa prof.mwandosya aliyekua top 3 mwaka 2005 na kumweka makufuli? Mida inabadilika..hamna mwenye hati miliki ya kugombea urais chadema. Kwakuwa wewe ulikua unakubalika 2010 haina maana unakubalika sasa hivi! Lazma tumweke mwenye nafasi kubwa ya kutupatia ushindi.
 
Magufuli anapiga mbizi kuelekea kigamboni/magogoni.
ccm inazidi kujihakikishia ushindi mnono zaidi, badala ya kupata kupata ushindi wa 70% sasa itapata 95%.
tuna imaaaaaaaaaaniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii naa sisieeeeeeeeeeeeeeeeemuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu.

Hivi mnatumia njia gani ya kisayansi kubashiri huo ushindi, na uhakika wake? Matokeo ya serikali za mitaa 2014 au vipi?
 
Magufuli anapiga mbizi kuelekea kigamboni/magogoni.
ccm inazidi kujihakikishia ushindi mnono zaidi, badala ya kupata kupata ushindi wa 70% sasa itapata 95%.
tuna imaaaaaaaaaaniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii naa sisieeeeeeeeeeeeeeeeemuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu.

Hebu kwanza ntafutte WhatsApp +255776 589 044 ujiunge na team magufuli!!! We jembeeeee
 
Magufuli anapiga mbizi kuelekea kigamboni/magogoni.
ccm inazidi kujihakikishia ushindi mnono zaidi, badala ya kupata kupata ushindi wa 70% sasa itapata 95%.
tuna imaaaaaaaaaaniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii naa sisieeeeeeeeeeeeeeeeemuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu.

Mdau ulipotea sana. Kumbe Magufuli anapiga mbizi, duh! si alisema watu wa kigamboni wasiokuwa sh 200, wapige mbizi, iweje leo yeye?
 
Ccm na serikali Yao wametengeneza zaidi ya
Billion 150 kuhakikisha ukawa inasambaratika
Lakini mpaka sasa wameambulia kuondoka
Na lipumba tu ukawa iko Imara lowasa yuko Imara
C cm mwaka huu mtaimba nyimbo zote:
Halafu watu wanaishabikia chama kinachotumika
Kodi zao kuua vyama vilivyobeba matumaini Yao
Huo ni uwendawazimu
Ila mwisho wa kila kitu ccm ni mwaka huu
Asikiaye na afahamu:
 
Sasa kumekuchaaaa , sasa kumekuchaaaa Jogooo limekwisha wika ........Apewe kura za ndiooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo ......Wabinafsi na wazandiki wanaotaka kututumia kama condom kuimarisha Biashara zao tupa kuleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!

John Joseph for President ....:A S 465::A S 465::A S 465::A S 465::A S 465::A S 465::A S 465:
 
Back
Top Bottom