Nasikia harufu ya ankra!!.....

nitonye

JF-Expert Member
Dec 18, 2011
7,273
3,750
Aisee nautafuta huu mzigo sijui umepotelea wapi?
 

Attachments

  • Oooooo gosh...jpg
    Oooooo gosh...jpg
    40.9 KB · Views: 91
Kuna watu wananiponda sana kuwa na post upupu,ila kuna mijitu imezidi,Mx
 
Elfu tisini tu hizo, hivi mpaka leo huna hizo? basi hata mababu hawajaacha urithi? au uchumi unao lakini unaukalia?

Maana kuna shemeji yangu mmoja kaachiwa Ng'ombe kama 400 huko Dodoma vijijini lakini amini usiamini siku zote hana hela.
 
Elfu tisini tu hizo, hivi mpaka leo huna hizo? basi hata mababu hawajaacha urithi? au uchumi unao lakini unaukalia?

Maana kuna shemeji yangu mmoja kaachiwa Ng'ombe kama 400 huko Dodoma vijini lakini amini usiamini siku zote hana hela.

Tatizo vijiji ufugaji wao wanauchukulia kama ufahali (prestige) sasa mi mtu wa town hizi karatasi nikizipata nazimaka kisawasawa
 
Back
Top Bottom