Nashndwa kuelewa hii chemistry ya wanawake.

Mbona mnakuwa wagumu kuelewa, nimesiha waeleza kule kwenye thread yangu...wanawake wanapenda kwa masikio, inawezekana ulivyo mpiga sound kaupenda ule wimbo, anataka ausikie tena ili anze kukata kiuno.

thread ipi hyo mkuu?
 
Akikataa mara ya kwanza sioni sababu ya kurudi mara ya pili aendelee na tabia yake nzuri ya ugumu
 
Tuna observe kama kweli interest ipo au vipi.. Umekataliwa kidogo tu ushakata tamaa heh!

Amina...how long does it take? I mean kufanya observation na maamuzi kama kukubali au kukataa...afu kukataliwa 'kidogo tu' inamaanisha nini....
 
naomba mwongozo hiyo ni nini kabla sijatoa maoni yangu MadameX
Just making sure kama still interest ipo au haipo, na hata kama ipo haimaanishi kama anakutaka pia. Its just we love the chase, mbwa si lazima awe anataka kuendesha gari anapolikimbiza.
 
Just making sure kama still interest ipo au haipo, na hata kama ipo haimaanishi kama anakutaka pia. Its just we love the chase, mbwa si lazima awe anataka kuendesha gari anapolikimbiza.

Wow...I like that metaphor, umeona sasa kumbe hata kama interest ipo au haipo, haimaanishi kuwa anakutaka....sasa dont u think it wise to count your blessings and log off from the chase?

Ninachomaanisha ni kwamba as much as you love the chase...there must be a limit...hata mbwa akifukuza gari, kuna wakati anarealise kwamba mmmhh...I aint gonna catch this dude....maajabu ni pale mawenye gari anapomshangaa mbwa anapoback off...lol
 
Umekataliwa kidogo tu ushakata tamaa heh!

kumbe ukikataliwa huna sababu ya ku-conclude kwamba umekataliwa eeh? ni ngumu kidogo kupata mantiki but sasa naanza kuelewa kwa nini baadhi ya wanaume huwa wanakuwa ving'ang'anizi wanapoamua kumvalia njuga binti..
 
Dhana kama hizi zinafanya baadhi ya wanaume kuwa ving'ng'anizi sugu....ila sio healthy kabisa
 
Amina...how long does it take? I mean kufanya observation na maamuzi kama kukubali au kukataa...afu kukataliwa 'kidogo tu' inamaanisha nini....

Tatizo lenu wanaume ni hivi, mnataka mpewe majibu hapo kwa hapo.. We need time kuwajua vizuri. (hakuna specific duration) hivyo unaweza kataliwa mwanzo taratibu baada ya muda mkiwa mna spend time together, na kuongea mara kwa mara, tukaona WHY NOT GIVING IT A TRY. Sasa unapo back out upesi inaonesha huna nia kaizer!
 
sasa Amina ni mara nisubiri unikatae ndo nianze kukata tamaa ???

mtafutaji hachoki mtukwao. Kama unajua umependa and there's a chance, kwanini ukate tamaa. Sema kuna wengine usumbufu, anajua hakuna hata chembe ya mafanikio bado anang'ang'ania. That is not good at all!
 
Back
Top Bottom