Kalumbesa
JF-Expert Member
- Nov 24, 2010
- 1,013
- 356
- Thread starter
- #21
chapa makofi tu tupa kule,kaoa kaolewa?cku hz wanawake wanataka kujipima mabav mpaka na waume zao,kama hyo yeye ndo anataka awe msemaj mkuu wa kila kitu wakat kaolewa tu ,kama nataka kwnda mahal namuaga mke wngu bt hawez kunizuia or question me further..smtimes u have to do it the hard way binadamu wngine mpk wapelekwe kwa force,atumie nafac yake kama mkuu wa familia kufanya mambo yke as long as sio mabaya.
Mmh mkubwa hii soo...anaweza akafanya hivi ndoa ikavunjika,tatizo ni kwamba wanawake wengi wanakuwa na character hizi angekuwa ni mpenzi angeweza achana naye lakini anaweza akatafuta mwingine ikawa yale yale...anadai kipindi cha uhusiano hakuyaona haya ndio anapopagawa zaidi..si unajua uhusiano hata kama mnaishi kwa kujiiba wiki au siku 3 au 2 si rahisi kuona tabia za mtu kiharisia na pia ukisha ahidi ndoa tabia fulani huwa zinafichwa