Kabakabana
JF-Expert Member
- Aug 5, 2011
- 5,551
- 1,160
Nilikuwa na mpenzi wangu na nilimpenda sana,kutokana na tabia yake ya kutokuwa mwaminifu nikaona bora tuachane.Sasa leo nimebahatika kuingia kwenye profile yake fb na nimekuta keshaanza kuwatöngoza wanawake wengine kwenye wall yake.Na mimi nashindwa kumsahau nifanyeje?