Perry
JF-Expert Member
- Feb 24, 2011
- 10,043
- 2,000
Tumsifu yesu kristo wakuu!!kuna mdada mmoja 2nasoma wote chuo kimoja,kuna kipindi flani ilitokea akawa ameuwawa{kaishiwa pesa} akaja akantel nimkopeshe kiasi flan hvi kwa makubaliano kwamba aftr 2 wks ata2miwa na ndugu zake then angenirudshia,me nkamtoa kisela nkijua ni mwaminifu,cha kushangaza,ali2miwa pesa na ndugu zake,akawekewa na bumu bt me deni langu cjui ndo kalisahau au kaamua kunirusha?lakin cha kushangaza naogopa kumdai{ikumbukwe kwamba sio mpz wangu,ni m2 2 2metokea kufahamiana}nifanyeje wakuu,maana sa hz mwenyewe nimefulia kimtindo??