Nashindwa kumdai

Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
10,044
1,999
Tumsifu yesu kristo wakuu!!kuna mdada mmoja 2nasoma wote chuo kimoja,kuna kipindi flani ilitokea akawa ameuwawa{kaishiwa pesa} akaja akantel nimkopeshe kiasi flan hvi kwa makubaliano kwamba aftr 2 wks ata2miwa na ndugu zake then angenirudshia,me nkamtoa kisela nkijua ni mwaminifu,cha kushangaza,ali2miwa pesa na ndugu zake,akawekewa na bumu bt me deni langu cjui ndo kalisahau au kaamua kunirusha?lakin cha kushangaza naogopa kumdai{ikumbukwe kwamba sio mpz wangu,ni m2 2 2metokea kufahamiana}nifanyeje wakuu,maana sa hz mwenyewe nimefulia kimtindo??

huyu hataki kukulipa hela zako anataka kukupa huduma kama malipo kwa kiasi cha fedha ulichotoa ni kiasi cha kumwambia tu jina la gesti na muda wa malipo lol!
kudai bila kuwa na nyenzo kunasababisha mdaiwa na mdai waanze kufikiri jinsi ya kumalizana

kina dada wengine(nasisitiza wengine,wasije nitoa macho bure) hawanaga nia ya kulipa deni kwa kurudisha hela kuna mmoja nilimkopesha laki baada ya kunizungusha saana akaniambia 'we kaka wa wapi si tumalizane tu' ? laki tumalizane ? wakati enzi hizo kwa laki nachukua demu weekend nzima lol!

Weka caller tune ya belle9 ya ukitaka ubaya dai chako then mbipu akipiga usipokee apate ujumbe wake.

Au easy way we nawe mkope jifanye unashida ela nying zaid ya ile uliyomkopa akikupa after cku kazaa unamrudishia kiasi kilicho zidi.

nakubaliana na ww, tabia mbaya kweli! dawa ya mdada wa hivi unamkumbushia mara 2 kiutanii afu anakua kajifukuzisha! akiwa na shida,hata kama atakua na guts za kukuomba tena mkopo muambie 'aisee,na mie nimeishiwa manake nimekopesha watu kibao wote wanajisahaulisha madeni'
senetor, mtanie,muambie unanilipa lini manake mwishoe mwanangu atakuja oa binti yako bila mahari, huku unajichekelesha. atapata msg!

kina dada wengine(nasisitiza wengine,wasije nitoa macho bure) hawanaga nia ya kulipa deni kwa kurudisha hela kuna mmoja nilimkopesha laki baada ya kunizungusha saana akaniambia 'we kaka wa wapi si tumalizane tu' ? laki tumalizane ? wakati enzi hizo kwa laki nachukua demu weekend nzima lol!

Tumsifu yesu kristo wakuu!!kuna mdada mmoja 2nasoma wote chuo kimoja,kuna kipindi flani ilitokea akawa ameuwawa{kaishiwa pesa} akaja akantel nimkopeshe kiasi flan hvi kwa makubaliano kwamba aftr 2 wks ata2miwa na ndugu zake then angenirudshia,me nkamtoa kisela nkijua ni mwaminifu,cha kushangaza,ali2miwa pesa na ndugu zake,akawekewa na bumu bt me deni langu cjui ndo kalisahau au kaamua kunirusha?lakin cha kushangaza naogopa kumdai{ikumbukwe kwamba sio mpz wangu,ni m2 2 2metokea kufahamiana}nifanyeje wakuu,maana sa hz mwenyewe nimefulia kimtindo??
acha usharobaro na hela
kuwa kauzu upewe mshiko wako vinginevyo nakupa Crap.............

Au easy way we nawe mkope jifanye unashida ela nying zaid ya ile uliyomkopa akikupa after cku kazaa unamrudishia kiasi kilicho zidi.

tatizo ni sister duu flani hvi,me nahofia nkimwambia,atansemea mbovu kwa marafk zake ukzngatia me na wao 2naheshmiana.

Milele amina,
Mkuu inaonekana unamtaka huyo binti (siwezi eleza zaidi)

Try this:-
Mpigie simu,mwamibe una shida kubwa sana
na ungependa kupata kiasi flani cha hela toka kwake (mtajie ulicho mkopesha au zaidi,ntafafanua)
with confidence,usiwe kama unamdai we mwambie tu unashida na kiasi hiko cha pesa.

Reaction:-
1.Kama umemwomba kiasi kile kile ulicho mkopesha na hela anayo basi
uwezekano wa kukupa kiasi chote ni mdogo sana kama alikua anakutaka wewe (vice versa ya statement ya pili)
Anaweza akupe kidogo,au akupige chenga kabisa.

2.Ukiomba nyingi kuliko uliyo mpa,uwezekano wa kuhisi unashida kweli ni mkubwa sana,....
Atajitahidi kufanya chochote kile ili atleast apate ile uliyo mkopesha,...
Ikitokea kwa bahati mbaya akakupa zaidi ya kiasi ulicho mkopesha,chukua then baada ya week au siku chache tu
mrudishie change yake,...(chukua yako,mrudishie uliyo ongeza wakati unamdai)

Angalizo:-
Yawezekana ni kweli kabisa hana hela,labda na yeye ina muuma sana kutokukulipa hadi mda huu
na hana courage ya kukuambia jinsi alivo saivi.Huwezi kua na uhakika kwamba alipata hela kweli

Kwa mfano,kuna binti nilimkopesha pia,ila mimi ni tofauti sioni aibu kudai kama najua nimekukopesha
na sijakupatia hivi hivi tu,....
Ila ilipo fika mda hakunipa,nikamfata na akanambia ntakupa,...zilikua chenga chenga tu
nikakasirika kweli.

Then,baada ya mda alinipa robo robo hadi deni likaisha,....

Nilicho kuja kugundua ndugu yangu najuta hata kwanini nilimdai ingawa nami pia nilikua na shida kweli,..
home kwao hawako fresh in the first place,na pia alipangiwa alichaguliwa udom na udsm,akaja udsm
ila hela yake ikawa located udom,toka hapo ni matatizo tupu ili apate hela zake,....

And for a girl,...trust me yuko kwenye hali ngumu sana na majaribu mengi mno hapa mjini to make the story
short,....

Kama huna haraka na hiyo hela the last option,...mchunie tu,..ila kua naye karibu ujue historia yake
yawezekana hana wa kumsaidia maskini.

hapo sasa jifanye kuna m2 anakudai na wewe tena yupo mbioni kukudhalilisha ivo csta akusaidie ile ela yako ujitahid sawazisha mambo.

mkuu,kwanza c kweli kwamba namtaka huyu mdada,me nlimsave ka ambavyo ningeweza kumsave m2 mwingne,kingne ni kwamba,kabla ha2jafunga chuo al2miwa pesa na ndugu zake na vle vle 2kawekewa bum bt mwenzangu hakunirekebishia mambo yangu hadi leo,na kingne co kwamba ni mchovu kvle had ashndwe kunilipa.

acha ublazameni ma.....vi sawa,hbu kua kauzu zaidi ya dagaa dai chako af umpoteze mazima

tatizo ni sister duu flani hvi,me nahofia nkimwambia,atansemea mbovu kwa marafk zake ukzngatia me na wao 2naheshmiana.

Mtumie message umwambie unamdai hizo fedha una shida nazo, akikataa au akinyamaza basi jidai tawanya sms kwa marafiki zake lakini ukiwa umemtarget yeye.

Umwambie aisee (jina) ulinikopa fedha tangu siku gani mpaka leo unanizungusha vipi nitaipata hiyo fedha yangu? Labda ataona aibu ikisambaa kwamba ndiyo mtindo wake kukopa halafu hajui kulipa.

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom