nashindwa ku do

kaburu mdogo

JF-Expert Member
Dec 19, 2011
567
400
binafsi ni kama kaugonjwa fulani hivi,nilipokua na mpenz wangu huwa naweza fanya sex zaidi ya mara tano hadi sita,hii hutokea pale ninapomuita na akaja bila purukushani ya aina yeyote ile.tatizo linalonikabiki ni pale ninapokua na hamu nae kwa nmuda mrefu na kumwita,anapokuja na kunizungusha kwa maneno mf leo cpo tayari au usiguse leo huwa natumia nguvu kubwa kumbembeleza na akikubali huwa nafanya na kuishia goli moja na nikitaka kuendelea huwa siwezi kwani mzee hushindwa kusimama kabisa,naombeni ushauri ili hili tatizo liishe jamani
 
Kwani ulitaka ufanya mangapi kwa siku? siku zote hazifanani sio kila mara ufanye bao 4-5 kama una twanga.
 
Mbona hilo tatizo lako dogo.Jaribu dawa moja inaitwa viagra mpaka 10 unaenda inategemea tembe utakazomeza.
 
jaman pole may be tatizo anakuwa mzee amesimama kwa muda mrefu ndo mana ana kuwa anashindwa kurud mchezoni lkn ukijaribu kuoga u l'l be fresh na kuconcetrate pia inabidi mweza wako ashiriki katika zile chenga anaweza rudi mchezoni and be stress free.
 
pole sn kaka,jaribu kulisahau tatizo,ukikumbuka sn tatizo hilo litaendelea,consider that just as accdent kw cku iyo tu.mwombe mungu akusaidiae pia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom