Yeye ni..
Haya ni mjukumu mazito sana kwa mtu mmoja kuyatimiza kwa ufanisi hata kama atatimiza ni busara kubaki na cheo kimoja au viwilli ili kuachia vijana wengine nao wajenge vipaji vyao. Chama kiangalie faida na hasara ya kulundika vyeo kwa mtu mmoja kuna siku ambayo haijulikani mtu huyo anaweza asiwepo au akaamua kupumzika siasa au kuhama chama na kuacha pengo ambalo kuzibwa kwake kutachukua muda mrefu.
Nashauri Zitto abaki na vyeo viwili, Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Mashirika ya Umma (POAC) na Ubunge.
Nawasilisha.
- Naibu Katibu Mkuu wa Chama
- Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Mashirika ya Umma (POAC)
- Mbunge
- Naibu Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni
- Waziri Kivuli wa Fedha.