Nashauri nguo zifuatazo zipigwe marufuku kwenda nazo eneo la benki na vituo vya Polisi

West gate, World trade centre, Boston,underground train, Airports na maeneo yote yaliyokabiliwa na mashambulizi makubwa ya kigaidi washambuliaji hawakuwa wamevaa mavazi hayo yaliyotajwa!
 
Hata ukivaa suti unaweza kuficha bastola, acha kukariri sema kuwe na kifaa cha kugundua silaha, kabla mtu hajaingia ndani mlangoni awepo mtu wa kukagua mbona ofisi kubwa za kimataifa hufanya hivyo? Mtajasema watu watinge benki na bukta na bikini tu sasa.
 
Kutokana na watu kuzitumia kufichia siraha; Mabegi na nguo zifuatazo zipigwe marufuku mtu kwenda nazo eneo la bank ama kituo cha police.
1. Madila ya akina mama
2. Kanzu
3. Makoti makubwa.
4. Mabegi ya kianafunzi yakaguliwe
5. Ushungi na mabaibui (NINJA)
6. Uvaaji wa misuli n.k
....USALAMA KWANZA......
Silaha
Unaweza kuweka statistic hapa kuonyesha kua wahalifu wengi huvaa hayo mavazi kabla ya kufanya uhalifu? au umekurupuka tu kutoka usingizini na chuki zako kwa dini fulani?
 
Kutokana na watu kuzitumia kufichia siraha; Mabegi na nguo zifuatazo zipigwe marufuku mtu kwenda nazo eneo la bank ama kituo cha police.
1. Madila ya akina mama
2. Kanzu
3. Makoti makubwa.
4. Mabegi ya kianafunzi yakaguliwe
5. Ushungi na mabaibui (NINJA)
6. Uvaaji wa misuli n.k
....USALAMA KWANZA......
Mkuu naomba uniambie je, hizi silaha zinahitaji Dera,baraghashia,kanzu,misuli au baibui ???

cute-weapon-tiny2-b.jpg

Pistor, ambayo hata kwenye kimfuko cha shati hakijai.
worlds-smallest-gun.jpg

Umeiona hiyo .... hata mkononi haijai.
maxresdefault.jpg

Dunia ya sasa haiitaji mizana mikubwa kuja kufanya uharifu sehemu.

Labda kama unaajenda yako ya siri.
 
Jambaz avae msuli, kanzu kwenda kuiba bank?
Mabank waongeze ulinz wa kisasa navifaa vya kugundua silaha na wawekwe walinz walio soma intelegensia ya ulinz sio hao hata mgambo hawajapita kaz kuzuia kuongea na simu tu bank ndio kaziyao kubwa wanayoifanya
 
Swala kuu hapa ni ku improve security ya kila mahala ambapo ni sensitive eg. Kuweka CCTV, kukagua wateja wote kwa kutumia metal sensor, pia kupata mafunzo sahihi ya intelejensia ili kuwatambua wahalifu kabla hawajaharibu na kuacha uzembe wa mazoea, wakati mwingine unakuta walinzi wote wamejifungia kwenye kibanda wakila story badala ya kufanya ulinzi, walinzi wengine wanafakamia michips ya mtaani na mwisho huleweshwa na kuibiwa etc
 
Baada ya nguo mtasema baadhi ya wenye majina fulani wapigwe marufuku kufungua account pia maana majina yao yanashabihiana na ujambazi.
Mavazi ni sehemu ya kiwakilishi cha imani ya mtu, kusema yapigwe marufuku kwa nchi kama hii yenye uhuru wa kiimani ni sawa na kupiga vita baadhi ya dini kwa vile tu fikra zako zimekutuma kuwa nguo zao zinaficha silaha. Tanzania hatuna historia ya ugaidi wa kidini, kama kuna mavazi ya kuzuiliwa bank basi ingekuwa sare za polisi na jeshi maana ujambazi mwingi ukitokea wanakutwa na sare hizo.
 
Swala kuu hapa ni ku improve security ya kila mahala ambapo ni sensitive eg. Kuweka CCTV, kukagua wateja wote kwa kutumia metal sensor, pia kupata mafunzo sahihi ya intelejensia ili kuwatambua wahalifu kabla hawajaharibu na kuacha uzembe wa mazoea, wakati mwingine unakuta walinzi wote wamejifungia kwenye kibanda wakila story badala ya kufanya ulinzi, walinzi wengine wanafakamia michips ya mtaani na mwisho huleweshwa na kuibiwa etc
Wateja wa kuu wa bidhaa za matunda na mihogo mibichi zibebwazo kwenye mabeseni. Akianza kula na kutongoza muuzaji anasahau kabisa na kazi yake.
 
Kutokana na watu kuzitumia kufichia siraha; Mabegi na nguo zifuatazo zipigwe marufuku mtu kwenda nazo eneo la bank ama kituo cha police.
1. Madila ya akina mama
2. Kanzu
3. Makoti makubwa.
4. Mabegi ya kianafunzi yakaguliwe
5. Ushungi na mabaibui (NINJA)
6. Uvaaji wa misuli n.k
....USALAMA KWANZA......
Ohooooooo..., n'jomba unatafuta ugomvi na watu sasa....
 
Kutokana na watu kuzitumia kufichia siraha; Mabegi na nguo zifuatazo zipigwe marufuku mtu kwenda nazo eneo la bank ama kituo cha police.
1. Madila ya akina mama
2. Kanzu
3. Makoti makubwa.
4. Mabegi ya kianafunzi yakaguliwe
5. Ushungi na mabaibui (NINJA)
6. Uvaaji wa misuli n.k
....USALAMA KWANZA......
Angalia hii vdo clip jamaa kabeba zana za kutosha! Je Kavaa kanzu?
 
Attachments

  • VID-20160615-WA0066.mp4
    1.8 MB · Views: 17
Msipomkemea Shetani mnayemuona anawaletea Majanga basi Mtaabika hadi vichwa vipasuke
 
Kutokana na watu kuzitumia kufichia siraha; Mabegi na nguo zifuatazo zipigwe marufuku mtu kwenda nazo eneo la bank ama kituo cha police.
1. Madila ya akina mama
2. Kanzu
3. Makoti makubwa.
4. Mabegi ya kianafunzi yakaguliwe
5. Ushungi na mabaibui (NINJA)
6. Uvaaji wa misuli n.k
....USALAMA KWANZA......
Ufaransa wamepiga marufuku wanawake kuvaa hijab/nikabu wakiwa ufukweni.....teh teh teh teh.
 
Kutokana na watu kuzitumia kufichia siraha; Mabegi na nguo zifuatazo zipigwe marufuku mtu kwenda nazo eneo la bank ama kituo cha police.
1. Madila ya akina mama
2. Kanzu
3. Makoti makubwa.
4. Mabegi ya kianafunzi yakaguliwe
5. Ushungi na mabaibui (NINJA)
6. Uvaaji wa misuli n.k
....USALAMA KWANZA......
TAIFA LIMEHARIBIKA DINI IMETUMIKA VIBAYA NA KILA MDOMO WENYE BAYA UNA NENO DINI TUMEKWISHA
 
Back
Top Bottom