Nashauri iundwe timu ya wazalendo kuelimisha umma!

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
35,053
28,245
To Whom it may concern...!

Nashauri iundwe timu ya wazalendo wa kweli wa nchi hii itakayotembea mikoa yote na kuongea kwenye vipindi mbalimbali vya televisheni na radio.

Timu hiyo ijikite katika kuzungumzia uadilifu wa viongozi na kupinga mafisadi kiwania dola katika nchi yetu Takatifu.

Wajumbe wa Timu hii sitaki kuwataja lakini wazalendo mnawajua.

Hii ni kutokana na hali ya mambo yalivyo sasa ambapo watanzania wamechanganywa baada ya kuona mafisadi wakisafishwa na waadilifu kutukanwa.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
 
nashauri hiyo tume iundwe baada ya uchaguzi kwa maana hatutawasikiliza watatumika na wanasiasa
 
Kuliko kuunda timu si bora mkaikodi Azam iliyokamilika kila idara badala kupanga mpango wa kula hela za nchi
 
To Whom it may concern...!

Nashauri iundwe timu ya wazalendo wa kweli wa nchi hii itakayotembea mikoa yote na kuongea kwenye vipindi mbalimbali vya televisheni na radio.

Timu hiyo ijikite katika kuzungumzia uadilifu wa viongozi na kupinga mafisadi kiwania dola katika nchi yetu Takatifu.

Wajumbe wa Timu hii sitaki kuwataja lakini wazalendo mnawajua.

Hii ni kutokana na hali ya mambo yalivyo sasa ambapo watanzania wamechanganywa baada ya kuona mafisadi wakisafishwa na waadilifu kutukanwa.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!

Kweli we jingalao na hapo ndo upo katika ubora wako! sasa hao waliobakia si balaa kama wewe tu uku hivi!
 
warioba aliunda timu ya kuwaelewesha watanzania mkamtumia genge la wahalifu kumziba mdomo leo unataka timu nyingine? kuna sababu nyingi za kutaka kuiondoa ccm,hivyo siyo ajenda ya ufisadi katiba mpya nisababu nyingine ya muhimu sana ya kuiondoa ccm,tukiwa na watawala hawahawa hakuna jipya lolote kwa nchi hii.
 
Dr Slaa na Humphrey polepole wanafanya kazi nzuri.

Mmewatumia hao jamaa sasa hivi naona kila anayeingia kwenye kipindi kama anajistukia. Ni kwamba kwa sasa hivi watu wameamua kubadilika kwa gharama yoyote ile. Leo hii hata Nyerere akifufuka aje ampigie Magufuli debe atabaki yeye na mzee wa Miwani hoyeeeee tu. Chama chenu kimeshapoteza mvuto na tunajua mnajiandaa kwa goli la mkono lakini safari hii hamumpati mtu watu wote washastuka kaka.
 
Dr Slaa na Humphrey polepole wanafanya kazi nzuri.

Wanafanya kazi nzuri ya kuwaelemisha nyie maCCM huku upande wa pili hakuna anaewasikiliza watu wameishaamua na unaambiwa Treni imeishawaka na hakuna kuchimba dawa hadi kituo cha mwisho.
 
Back
Top Bottom